OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
huyi jamaa alikuwa anazidi hadi wanafuzi wakamuida izintiiiii...He is right, question tag is added at the end of the sentence or statement, 1.to see if the sentence is correct 2. It is used to ask guestion
Kuna dogo mtihani wa english baada ya kuona nyota akaamua kujaza ile heading ya maswali.Nakumbuka nlivyoingia form one nlipata shida sana nlikua cjui kingereza kabsa mwl akifundsha sielewi kitu adi kwenye mitian nlikua nachanganya kiswahl coz naelewa swali kujibu siwez bt nashkuru mungu sasa najua kingereza vzur weng hawaamin nlisoma st kayumba kujua kingereza nadhan ni juhudi binafsi
Haha kweli aise mambo ya kubadlishiwa gia angan sio mpango kabsaKuna dogo mtihani wa english baada ya kuona nyota akaamua kujaza ile heading ya maswali.
1:What is your father's name?.........yeye FILL
2:What is your mothers name: .... yeye FOLLOWING
3:Where do you live?...... Blanks
hahahah shule ya msingi English ni tatiza hasa kama Lugha yako ya pili au ya tatu ni Kiswahili na English inakuja kama lugha ya NNE wakati hata kiswahili bado shida...
Mm kila nikinunua kalamu mpya naibiwa, basi namimi nikaanza kuiba kalamu za watu. Nikiiba naitafuna bomba lake inabaki kipisi ili isitambulike na mwenye nayo. Sio mchezo bwana. St. Kayumba shule za msingi full vitukoilikuwa kila nikinunua fagio lazma niibiwe , basi nami nikaanza tabia ya kuchomoa chelewa kwa lola fagio la mtu anayezubaaa mpaka napata fagio kabisa.
Aisee umenikumbusha mbali. Mr chambo popote alipo Mungu ambariki..Boko shule ya msingi,
Acha kabisaa
We unaongelea ya st kayumba za juzi tu mkuu
[emoji38][emoji38][emoji38]u can't be serious mkuuKuna dogo mtihani wa english baada ya kuona nyota akaamua kujaza ile heading ya maswali.
1:What is your father's name?.........yeye FILL
2:What is your mothers name: .... yeye FOLLOWING
3:Where do you live?...... Blanks
hahahah shule ya msingi English ni tatiza hasa kama Lugha yako ya pili au ya tatu ni Kiswahili na English inakuja kama lugha ya NNE wakati hata kiswahili bado shida...
[emoji15]Najuta kusoma bush! Mpaka sasa nina degree ila kingereze sijui
hahahhaaa mie tabia ya kula vifuniko vya pen haswa speedo na bic mpaka leo ninayo.Mm kila nikinunua kalamu mpya naibiwa, basi namimi nikaanza kuiba kalamu za watu. Nikiiba naitafuna bomba lake inabaki kipisi ili isitambulike na mwenye nayo. Sio mchezo bwana. St. Kayumba shule za msingi full vituko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna dogo mtihani wa english baada ya kuona nyota akaamua kujaza ile heading ya maswali.
1:What is your father's name?.........yeye FILL
2:What is your mothers name: .... yeye FOLLOWING
3:Where do you live?...... Blanks
hahahah shule ya msingi English ni tatiza hasa kama Lugha yako ya pili au ya tatu ni Kiswahili na English inakuja kama lugha ya NNE wakati hata kiswahili bado shida...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikua naamini anaeshika nafasi ya 1 darasani ndio anatakiwa akae dawati la kwanza