St.Kayumba wote tukutane hapa Wazee wa kidumu na Maji

Nakumbuka nlivyoingia form one nlipata shida sana nlikua cjui kingereza kabsa mwl akifundsha sielewi kitu adi kwenye mitian nlikua nachanganya kiswahl coz naelewa swali kujibu siwez bt nashkuru mungu sasa najua kingereza vzur weng hawaamin nlisoma st kayumba kujua kingereza nadhan ni juhudi binafsi
 
He is right, question tag is added at the end of the sentence or statement, 1.to see if the sentence is correct 2. It is used to ask guestion
huyi jamaa alikuwa anazidi hadi wanafuzi wakamuida izintiiiii...
hata ambapo hapausiki, Ila historia inaonyesa kuna shida kidogo wenda akili nyingi zaidi.
kwa saa anaweza kutaja izintiiii zaidi ya mara 30 kama sio hamsini. Nadhani jamaa ni Phd
 
Kuna dogo mtihani wa english baada ya kuona nyota akaamua kujaza ile heading ya maswali.
1:What is your father's name?.........yeye FILL
2:What is your mothers name: .... yeye FOLLOWING
3:Where do you live?...... Blanks

hahahah shule ya msingi English ni tatiza hasa kama Lugha yako ya pili au ya tatu ni Kiswahili na English inakuja kama lugha ya NNE wakati hata kiswahili bado shida...
 
Haha kweli aise mambo ya kubadlishiwa gia angan sio mpango kabsa
 
mleta mada hi thread yako imen fanya nimemkumbuka mwalimu edwini wa shule ya msingi umoja mabibo ndo mwalimu alinifanya nikajua kusoma kanisaidia mengi sana mpaka nw nimekuwa luten wa JWTZ hi yote sababu yake dah much respect appriciate kokote ulipo mwalimu edwini

Nakumbuka nilikuwa napenda sana kukunua visheti na ubuyu shule dah
[HASHTAG]#bibo[/HASHTAG] bronx
[HASHTAG]#nimepakumbuka[/HASHTAG] sana
[HASHTAG]#dah[/HASHTAG] way bac....
 
ilikuwa kila nikinunua fagio lazma niibiwe , basi nami nikaanza tabia ya kuchomoa chelewa kwa lola fagio la mtu anayezubaaa mpaka napata fagio kabisa.
Mm kila nikinunua kalamu mpya naibiwa, basi namimi nikaanza kuiba kalamu za watu. Nikiiba naitafuna bomba lake inabaki kipisi ili isitambulike na mwenye nayo. Sio mchezo bwana. St. Kayumba shule za msingi full vituko
 
Nilikua naamini anaeshika nafasi ya 1 darasani ndio anatakiwa akae dawati la kwanza
 
Mwanafunzi mtoro darasani hajahudhuria shule wiki nzima, mwalimu alivomuuliza kwanini huji shule akajibu nilikua naumwa akili.............st kayumba raha sana
 
[emoji38][emoji38][emoji38]u can't be serious mkuu
 
Mm kila nikinunua kalamu mpya naibiwa, basi namimi nikaanza kuiba kalamu za watu. Nikiiba naitafuna bomba lake inabaki kipisi ili isitambulike na mwenye nayo. Sio mchezo bwana. St. Kayumba shule za msingi full vituko
hahahhaaa mie tabia ya kula vifuniko vya pen haswa speedo na bic mpaka leo ninayo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mmmmh mi ninacho kumbuka ni kipindi niko std 6&7 mwalimu mkuu wetu wa shule alikuwa wa kiume na std 6 alikuwa akifundusha somo la kingereza....nisomo ambalo nilikuwa na lipenda sana hadi Leo.. Sasa ikifika wakati wakipindi chake...lzm kunakuwa na maswali kwahiyo kila akiuliza swali nilikuwa nahitahidi sana kujibu...hata nikikosea ananusahihisha basi akawa ananipenda kweli kunisifia sifia kwa wanafunzi wenzanngu hakuishi....basi nilipokuja kuingia std7 akawa mwalimu wetu wa Hisabati na historia basi tabia zake nizile zile ikafika kipindi ananipa km nikazi ya tution naiandika ubaoni...au mitihani ya darasa la saba waliotangulia kumaliza ananipa nawasomea wenzangu hasahasa ya historia nawasomea wanaandika... Mitihani waluyo fanya madarsa ya nyuma ysngu au majaribio ambyo hayajasahigishwa ananipa namajibu ni sahihishe yani daaa yule ticha sitokaa ni msahau ..sasa akawa ananikonyeza[emoji6] [emoji6] minikawa sijui maana yke nini sasa kulikuwa na madada wawili walikuja kuriti toka tukiwa LA sita walikuwa wakubwa kwangu wamenipita km miaka 3 basi nikawa nikiitwa na huyo mwalimu unasikia wananambia mpnz wako anakuitaa...... Basi akinikonyeza darasani wanafunzi walikuwa wakinigeukia mm alfu nakuwa serious km sijamuona....
...natamani Siku nikirudi Bush nikamtembeleee na alikuwa handsome Alf bado alikuwa kijanaaa tuuu....[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Kufika shule saa mbili ilkuwa ndo fani yangu kuchapwa juu ya suala la kuhesab namba kwangu ilkuwa kawaida
 
Nakumbuka tulipewa exercise na mwalimu wa english,maswali 10 ya true na false sasa tukawa tunahangaika majibu maana kingereza chenyewe hakipandi basi mi nikakisia kisia nikajaza maswali yote nikampa shost angu agezee tukakusanya daftari sasa kuna mwenzetu akaja kuomba majibu tukampa tofauti na yetu, tulipojaza true tukamwambia jibu ni false na kwenye false tukamwambia jibu ni true.....kituko madaftari yalivorudi mwenzetu akaja kushukuru tumempa majibu na amepata yote,,,,,,tulivopewa madaftari yetu mi na shost tulijuta [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 0/10
 
Dah kuna ile ya wakubwa kupiganisha madogo ngumi, mnagombanishwa wee mara mstari utachorwa atakayevuka ndo mbabe, mara kufuta udongo kwenye kiganja hapo ndondi zinaanza. Ila tulikuwa tunapeana sheria kabisa, Hakuna za tumbo. Sasa wewe hata upigwe vipi ukifanikiwa kumtoa aduandamu ya pua tu umeshinda pambano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…