proskaeur
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 1,571
- 4,924
Kwel stacia tena mnawazomea kwa nguvu zotee as if wao hawatarud home,,,daah primary banaaa……!!Tena ukiwa wa asubuhi mkifika mlangoni unawaona wa mchana unawazomea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwel stacia tena mnawazomea kwa nguvu zotee as if wao hawatarud home,,,daah primary banaaa……!!Tena ukiwa wa asubuhi mkifika mlangoni unawaona wa mchana unawazomea
Yani raha sanaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwel stacia tena mnawazomea kwa nguvu zotee as if wao hawatarud home,,,daah primary banaaa……!!
Tukunti yuu?Nakumbuka enzi za darasa la sita, mpaka darasa la saba; kitu cha "tag question" ilikuwa balaa tupu.
"You took my pen"
"________________"
(Malizia mwenyewe)
Msondo ngoma ilikuwa na raha yake asee.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaah....[emoji122] [emoji122]Hahahahahahaah unakuta hata kunawa ulinawa hivo hivo......unakuwa kama vile ulikuwa unatumia kigimbi kama unyayo
Those days..............Hahahahaa hapo unajiona mjanja sana, alafu hujulikani.
Si afadhali wewe ndugu yangu maana kuna watu wana mpaka PhD lakini Kiinglish hawajui.Nadhani umenielewaNajuta kusoma bush! Mpaka sasa nina degree ila kingereze sijui
Sky si kweli, tunao ndugu zetu/ watoto wetu/wajukuu zetu hawajui. Walimu wao wana mashaka na training zao. Unamhoji mwanafunzi unaona kuwa amefundishwa /hajaielewa concept. Tuna mifano, niko uswahilini, unamuuliza mtoto say kuhusu Mole concept unaona kabisa kuwa mwalimu hajafanya kazi yake. Ukienda St Mary's kama ulivyoziita unaona the clear difference!Tunapasuaga ingawaje kwenye interview wale wa St Joseph na St Mary wanatushinda kwa Kiingilishi, jibu tunalijua lakini ile ze makanizim ni tatizo.
Hahahahaha, propaganda za Nyerere hizo ili kujenga uzalendo.Nakumbuka gwaride la saa nane mchana linapigwa..... Tunaimba mtukula pole wakati mtukuka yenyewe siijui na wala sijawahifika huko..hii ni wakati wa vita ya IDD Amin Dada..... Nduli.....
Aisee na alifanikiwa kwelkwel... Tulikuwa wazalendo hasaaa.... Tuliipenda nchi yetu na hata viongozi wetu pia walikuwa wazalendo. Tofauti na tulionao sasa ni wazalendo njaa.... Wanahubiri amani mkononi wameshika mapanga.... Wanahubiri uzalendo mkononi wameshika kalam za kifisadi na wizi mkubwa sana.....Hahahahaha, propaganda za Nyerere hizo ili kujenga uzalendo.
Walioko juu hawana uzalendo kabisa.Aisee na alifanikiwa kwelkwel... Tulikuwa wazalendo hasaaa.... Tuliipenda nchi yetu na hata viongozi wetu pia walikuwa wazalendo. Tofauti na tulionao sasa ni wazalendo njaa.... Wanahubiri amani mkononi wameshika mapanga.... Wanahubiri uzalendo mkononi wameshika kalam za kifisadi na wizi mkubwa sana.....