Junius
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 3,181
- 144
get me there plz.Mazee you are very far from enrichment..it seems..😱
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
get me there plz.Mazee you are very far from enrichment..it seems..😱
get me there plz.
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa(unaweza kunirekebisha) kuna jamaa wa Ki Hehe, aliitwa Said Hassan Mwamwindi...alinyongwa na Nyerere......Eli Anangisye who was one of the detainees ..... I remember Wilfrem Mwakitwange, Elias Mshiu, Abdu Faraji, Edward Barongo, Chief David Kidaha Makwaiya and his brother Husein Makwaiya. Can JF members give more names, especially of those still alive, so that a get-together can be organized for survivors on the occasion of the cannonization?
Kwa kuwa elimu haina mwisho, mwenzio bado najifunza tuuu na sikatai kuuliza ujinga nikitafuta werefuYou will needs wings which u dont have mazee..Wings zinapatikana kwa ku-seek maarifa kwenye vilindi vyake..
Kwa kuwa elimu haina mwisho, mwenzio bado najifunza tuuu na sikatai kuuliza ujinga nikitafuta werefu
Usirudi hapa JF unakwenda ta!ta!ta! kama mtoto mdogo, taratibu Mkuu.You are now embarassing me with your silly posts..unanikatia stimu ya ulabu saa hii..Wewe endelea kujibizana na keyboard from now on..mimi najikata kwenda kujitakasa na laga..
Seeeeeeeyahhhh
Watanzania kwa kupenda short cuts !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Hata yeye kuhutubia baraza la umoja wa mataifa kutaitwa miujiza.
Aluuuu!
Kumbe haka kamchezo huyu mzee hakukaanzia Zanzibar, duh.
Sasa napata mashaka hata zile chaguzi zake alizokuwa anapata 90% + kama zilikuwa hazina mushkeli.
Biblia sio premise ya kila kitu kinachofundishwa na kuaminiwa na kanisa Katoliki. Kwa hiyo using'ang'anize kuwa kila kitu lazima kiandikwe kwenye Biblia..Sawasawa?
Biblia sio premise ya kila kitu kinachofundishwa na kuaminiwa na kanisa Katoliki. Kwa hiyo using'ang'anize kuwa kila kitu lazima kiandikwe kwenye Biblia..Sawasawa?Mh! Makubwa, jamani kuna vitabu vingine vitakatifu tofauti na Biblia??
Mh! Makubwa, jamani kuna vitabu vingine vitakatifu tofauti na Biblia??
Ndugu yangu ndo hapo jiulize upate jibu. Biblia si msingi wa mafundisho na uendeshaji wa kanisa katoliki. Kanisa katoliki limesheni maagizo ya wanadamu zaidi kuliko maagizo ya MUNGU na linaendesha mambo yake kisiasa zaidi kuliko ki-MUNGU.
Dear Prof. Collier,
I read ``Wars Guns and Votes`` and was struck to read the flowery treatment
you accorded J. Nyerere of Tanzania. You assert that he was successful at
nation building through rhetoric and emphasis on one unifying language.
You have written history books on Tanzania, and you could not possibly forget
that Nyerere was able to maintain national security not by rhetoric and
ideology but also through unlawfulness and autocracy. He detained dissenters
and attorneys general who dared to differ. He sanctioned death camps in
Zanzibar which tortured and butchered many a detractor, ex-ministers and
parliament backbenchers. His political police reputedly re-arrested vindicated
suspects exiting the steps of courtrooms after prevailing against detention
orders brought under the extralegal ``Preventive Detention Act.``
I was a mere schoolboy during the tail end of Nyerere's Tanzania (he had
ruled for a million years before I was born), but I remember the terror, even
though your western readers who may have never heard of the region will be
taken for a good ride here. A book is as accurate as the audience it is
targeting.
Mkuu hapa lipo tatizo.
Nafikiri hapa tatizo kubwa ni kwa kanisa katoliki kukosa ufahamu mzuri wa Ki-MUNGU. Utakatifu wa mwanadamu unapimwa na MUNGU tu na wala si mwanadamu. Yaani mwanasiasa anakuwa Saint? Tangu lini? Ooooh my goodness. Wamempima kwa kipimo gani? Haya ya kuangalia kwa nje na michango yake ya kisiasa? Si basi angalau wangempa Nobel prize ya kikanisa kwa michango yake mizuri kwa jamii na si katika mambo ya kiroho maana aujuaye moyo wa mwanadamu ni MUNGU tu. Hivi wanayajua maisha halisi ya mwalimu yalivyokuwa? Wanajua alitumia ulinzi gani dhidi ya maadui wa kimwili na katika ulimwengu wa roho? Je na kama wanajua yalikuwa sawasawa na mapenzi ya MUNGU? Nafikiri kanisa katoliki wasiingilie kazi ya MUNGU. Unless they have their own god and not the true GOD.
huyu nyerere aliwaumiza sana waislam tanzania na ndiye aliyepandikiza mbegu za ubaguzi wa kidini
hilo nalo wasilisahu
Church politics!!!!
Is true in RC you can do anything in this world and yet yu go to heaven by simply praying to God to move you from 'pagatory' to paradise!
I hope everyone would love that! so as wale watoto wa mama mdogo ukijilipua au vipi unakuta wanawali saba wanakusubiri peponi! LOL!
As much as I respect the religion I believe true sainthood is given by God not by men. Kama Wakristo tunavyo amini ni kwamba hakuna ajuae nafsi ya mtu bali Mungu mwenyewe aliye muumba. All in all it would be great publicity and an honor to Tanzania I guess.