You know my teacher told me, 40 people they can say 1+1=3, and only who says 1+1=2 s/he can loose. However how many people are to our knowledge and belief.Facts remains facts.
Huu mfano unaweza ukaugeuza pia kama ifuatavyo;
"Watu 40 wanasema 1+1=2, ila mmoja anatoka na kusema jibu ni 3, lakini anajidhania yupo sahihi na anang'ang'ana kwelikweli, akiambiwa athibitishe jibu lake anaanza kutoa visingizio lukuki na majibu ya jumla". Nasikitika kusema mtu huyo anaye-fit hiyo kadhia
ni wewe.
You have said facts; they too know that, wasiojua ukweli huwa sikuzote watabisha hata kutukana.Tunapoeleza ukweli hata ule wa ndani wengi hawataki kuusikiliza kwani bongo zao zimeshajaa yale wanayoyaamini!
Shukran kwa hili. Hizi unazoziita facts, hujazithibitisha popote na mkiulizwa maswali mnabaki kutoa majibu ya jumla na ya kijinga. Facts are verifiable sasa kama unadhania unzao facts, ukumbi ni wako kuyathibitisha au ukae kimya na kudhibiti kinywa chako kilichojaa miale ya ulaghai na uwongo!
Kanisa katoliki is against bible in many ways! we can discuss one by one still some people somewhere wont belive it.
What u fail to understand ni kuwa hata baadhi ya vitabu hivyo unavyovitukuza sana kwenye Bible vikiwemo vya habari njema(injili), viliandikwa ndani ya kanisa. Ila kwa sababu wewe ni mjuaji mno, hatuwezi kwenda mbali na kuzunguka mwitu. Naomba twende step by step, tuzi-exhaust hizo 'ways' ambazo kanisa katoliki linapingana na Biblia, moja baada ya nyingine, ili tuweke kumbukumbu zetu vizuri. Majibu ya jumla yatachukuliwa kama kushindwa hoja au kushindwa kuthibitisha madai yako na baada ya hapo nitaomba officially tukupuuze. Asante sana kwa hili, nime-offer challenge kwako, mpira upo kwako.
The church that killed christian who were spreading the gospel is catholic, this history is undeniable! when are taliking about ant-christ they all goes to RC! idol worship etc!
Historia inasema hata manabii waliua. Sitasema mengi kuhusu hili maana ukipekua kwenye mafunzo ya Kanisa katoliki leo hii hakuna popote ambapo wanadocument uuaji. Kama unao uthibitisho wa kina ulete hapa jamvini tuweke kumbukumbu zetu in order. Pia unazungumzia kuhusu kuabudu sanamu, again ujuaji wako wa 1+1=3 ndio hasa unakupelekea kuamini vitu visivyokuwepo. Mimi ni muumini na hakuna hata siku moja ambapo nimeabudu sanamu, ila endelea kuamini hivyo maana inaonekana inakupendezesha rohoni na kukufanya utabasamu kutwa nzima, endelea.
Is good religion though, is good organisation, but bible is not their book! is not centre of their belief.
Kama nilivyosema hapo juu, kuna baadhi ya vitabu kwenye Bible viliandikwa ndani ya kanisa. Hayo unayoongea bila shaka unaongea out of ignorance na chuki.
Haiingii akilini kung'ang'ania kusema tunaamini bible usiyoifuata, kila kitu kina maelezo yake!!!!
Hongera kwa kuamua nani anaifuata Bible na nani haifuati, wakati hata hujui historia ya Bible na jinsi gani imepitia hatua ngapi mpaka kufikia mikononi mwako leo hii. Sijui niseme ni ignorance au chuki au vyote kwa pamoja, lakini tupo hapa hata kama mada kuu itavurugika kiasi gani kuhakikisha wazandiki kama wewe ham-prevail.
Deep down their is no difference between RC and Muslim, yo can see how they relate in many ways , simply their 'father' is the same.
Kama nilivyokupa challenge hapo juu, nakuongezea na challenge ya pili, lete ushahidi mujarabu unaoonesha hayo uyasemayo. Madai hayauzwi mazee, tabu ni kuyathibitisha!
I can testify in many ways that RC and Muslim are not God's. However I can testify in many churches they are not different from them as per God's standard
Your testification will be null and idiotic. Unawezaje kutestify wakati wewe ni mja tu? Usiende mbali na kujiaibisha zaidi. Sikiza Yesu anavyokwambia kwenye John 10:14, unless unambie wewe ndiye Yesu: Sasa usiendelee kukufuru na kuzidi kujitia hatiani kwa kutafuta umaarufu wa 'vijiweni'
John 10:14 Mimi ni mchungaji mwema. Nawajua walio wangu, nao walio wangu wananijua mimi,
we need to deeply know the origin of this religions, utajikuta kila siku mtu wa kupanic na kukasirika watu wanapoanza kuanika ukweli!
Nadhani wewe ndiye hasa unahitaji kuketi kitako na kujifunza, maana zaidi ya 90% ya unayoongea yanadhihirisha aidha hujui chochote au chuki imekujaa au vyote viwili.
ukiujua ukweli na ukaamua kuufuata is even better, lakini naona wengi hapa wameshiba na umbumbumbu wakuamini wasichokijua! kuna ukweli unaoweza kukufanya ukawachukia wazazi wako. Maana what is going on ni kuwa maadam nimezaliwa kwenye familia ya kikristo basi ni mkristo , ungezaliwa mwislam je?? kuna ujasiri gani wa kusemana pasi wote hamjui mnaabudu nini na kwa basis gani.Na hii imewafanya waafrka wengi kuwa wanafaiki wa kutofuata wanayoyaamini!
This is irrelevant general information based on hisia...Duniani kuna watu zaidi ya bilioni 6, hatuwezi kukaa chini kujadili hisia maana hatutamaliza, we sit down to discuss issues and facts. Learn from there dude.
JK Nyerere, atakuwa tu mtakatifu kwa mujibu wa RC and this does not relate to God's ways of judgement.
Inaonekana una ka-wivu na ka-chuki kakubwa mno. Mazee hii artictle ilioanzisha thread ilikuwa some sort of a prank. Mwandishi alikuwa analeta version ya 'utakatifu' wa Nyerere ktk medani za kisiasa. Ktk actual sense mambo ya siasa sio kigezo kwenye mchakato wa utakatifu. Ila watu kwa sababu ya kutiwa kiza na chuki, mmeshindwa kuliona hili na kama kawaida yako wewe na wenzako mmeona huu ni ukumbi mwingine wa kulichafua kanisa katoliki kwa kebehi na madharau, lakini hatutawaacha mpate satisfaction based on this cheap shots. Tutakula nanyi sahani moja hadi kieleweke.
His ways are not our ways Isaiah 55:6-11
Amen..umeweka vizuri hii nukuu. What you fail to note ni kuwa Njia za Mola wetu si zetu, ikiwa ni pamoja na wewe..sasa ukiizingatia hii verse,inaoverwrite upupu wote ulioandika na kuzidi kujitia matopeni. Lahaula lakwata. Pole ndugu ..ukitaka kufankamia kitu ni vyema ukatanguliza busara mbele ..Sasa nasubiria chellenges nilizokupa ..usikimbie, maana mwenyewe umejitia ualimu wa vipofu...
Karibu sana