The Bleiz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2012
- 5,070
- 13,511
Ehh!! Kumbe ww ndio mmliki wa majukwaa yote ya Jf!!Kumbe wewe ni follower wangu!?
Hii ni hasara kuwa na follower Mwenye akili zenye makengeza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ehh!! Kumbe ww ndio mmliki wa majukwaa yote ya Jf!!Kumbe wewe ni follower wangu!?
Hii ni hasara kuwa na follower Mwenye akili zenye makengeza.
Yamekuwa hayo!? Usiogope mbumbumbu wangu. Nitakusaidia uwe mwelevu.Ehh!! Kumbe ww ndio mmliki wa majukwaa yote ya Jf!!
Unajiona mwerevu kumbe kilaza tuu jamaa. Ungekuwa mwerevu usingekimbia hoja za Franc.Yamekuwa hayo!? Usiogope mbumbumbu wangu. Nitakusaidia uwe mwelevu.
Wewe ndiye unayeniona mimi mwelevu ndio maana unanifuatilia ili upate madini.Unajiona mwerevu kumbe kilaza tuu jamaa.
Unafuatilia kila kitu kwa sababu wewe ni mbumbumbu wa kutupwa.Mi nafuatilia habari hata za DON nalison chief.
Kajibu hoja basa za FRANC THE GREAT.Wewe ndiye unayeniona mimi mwelevu ndio maana unanifuatilia ili upate madini.
Hahaa.Unafuatilia kila kitu kwa sababu wewe ni mbumbumbu wa kutupwa.
😀 😀 😀 wewe huniwezi unatakiwa utulie. Mimi ni akili kubwa.Hahaa.
Sawa akili kubwa uliokimbia uzi wako. Wee ni mtupu tuu jamaa. Au una google kwanza ndio ukajibu??[emoji3] [emoji3] [emoji3] wewe huniwezi unatakiwa utulie. Mimi ni akili kubwa.
Mimi ni kama lecturer natoa heading na maelezo kidogo nawaachia assignment.Sawa akili kubwa uliokimbia uzi wako. Wee ni mtupu tuu jamaa. Au una google kwanza ndio ukajibu??
Ukiingia Jf kwa fikra kwamba ww ndio the best lazima uumbuke tuu. Kubali challenge chief.Mimi ni kama lecturer natoa heading na maelezo kidogo nawaachia assignment.
Je, umefanya assignment ili niweze kutoa marks!?
Yaani wewe mbumbumbu wa kutupwa unipe challenge!!? Jifunze kwanza maisha kisha uje ujipime kwama unafikaUkiingia Jf kwa fikra kwamba ww ndio the best lazima uumbuke tuu. Kubali challenge chief.
Majibu yako tuu mwanzo wa huu uzi. Unaonekana tuu ww ni mtu wa aina gani.Yaani wewe mbumbumbu wa kutupwa unipe challenge!!? Jifunze kwanza maisha kisha uje ujipime kwama unafika
Hapo sasa umeanza kunielewa. Mimi ni GT.Majibu yako tuu mwanzo wa huu uzi. Unaonekana tuu ww ni mtu wa aina gani.
Msanii mahiri wa Tanzania, aliyewahi kuwa mshindi wa Big Brother, Idriss Sultan apata dili la kimataifa la kuonekana kwenye kampuni kubwa ya kuonesha movies ya NETFLIX
View attachment 1754401
Ndio arudiane na Wema sasa