Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Umeuliza swali kidada ..angalia wahuni wasianze kuzama pm [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unataka sisi tufanye nini sasa!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeuliza swali kidada ..angalia wahuni wasianze kuzama pm [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unataka sisi tufanye nini sasa!?
Kwani ziliisha ??Waswahili huwa wanasemaga kuwa bahati yaiji mara mbili, mbona huyu Idriss Sultan zinamjia mara ya pili.
Soon anaweza kurudisha Milioni 500 zake za Big Brother Africa 👏👏💪
Bado mapema acha na sisi tuiangalieNimetazama trailer yake mmmmmmhmn anyways siwezi kusema lolote mapema kwasasa sababu sipendi kuspoil kazi ya mtu.
But tunahitaji sana kutrain talents zetu ili kupata watu levels za kina Morris chestnut, Boris kodjoe, akina Idris elba, tasha smith, Sharon leal, Cicely Tyson, keesha Sharp, Malik Yoba, Nicole Ari Parker, Malinda Williams, Terrence Howard, Vivica Fox... Etc, kwa bongo ni bibi mwenda, waridi, Natasha, monalisa, bishanga, kajala,
Hawa actors huwa wana incorporate reality katika uigizaji wao kiasi kwamba unaweza kutana nae mjini ukajua ni yule yule aliyekuwa unamwona katika TV series.
Hawa watu wanauwezo mzuri na ndio huleta the real entertainment. But naona hata majuu kwenyewe kuna movies madirector wanachemka kumaintain uhalisia wa characters hadi mtu unaona kabisa kuwa hapa natazama maigizo .....
Sent using Jamii Forums mobile app
Akizinyaka tena itakuwa zamu ya Hamissa kuzitumbua 😀😀Kama ni bahati ya maisha, huyu anayo! Halafu mizaha mizaha tu ndio anayo ndio anakamata madili
Netflix ni ushetani mtupu! Picha yao tu hapo ukiiangalia imenakshiwa rangi zenye ishara ya uchawi na maagano ya kipepo. This guy has already initiated to the devil Kingdom.Msanii mahiri wa Tanzania, aliyewahi kuwa mshindi wa Big Brother, Idriss Sultan apata dili la kimataifa la kuonekana kwenye kampuni kubwa ya kuonesha movies ya NETFLIX
View attachment 1754401
TrailerHongera zake, anajitahidi kwakweli. Akaze buti.
Kuna watu hawajafanikiwa halafu wanatafuta kiki tu. Wala hana role ya maana kwa hio tv show. Alishachezea bahati yake hela alizopata kwa big brother. Hopefully lakini bahati yake itarudi tena. Ila sio hii. Ni kiki tu.Kauli kama hizo zako ni wale ambao hua mnaumia roho na mafanikio ya wengine hata kusikia habari zao mnachefukwa
Kuwepo kwake inatosha ni hatua kubwa hata Kama ni mlinz getini. Haya tuambie ww role yako kubwa ni ipi?Kuna watu hawajafanikiwa halafu wanatafuta kiki tu. Wala hana role ya maana kwa hio tv show. Alishachezea bahati yake hela alizopata kwa big brother. Hopefully lakini bahati yake itarudi tena. Ila sio hii. Ni kiki tu
Kuna watu hawajafanikiwa halafu wanatafuta kiki tu. Wala hana role ya maana kwa hio tv show. Alishachezea bahati yake hela alizopata kwa big brother. Hopefully lakini bahati yake itarudi tena. Ila sio hii. Ni kiki tu
Tunamtakia mema. Ila asichezee bahati zake tena. Ni hilo tu mkuu. Mimi nafasi kama hip ikija sitaichezea kamwe. Ndio hilo tuKuwepo kwake inatosha ni hatua kubwa hata Kama ni mlinz getini. Haya tuambie ww role yako kubwa ni ipi?
Naona yeye ni moja ya producers wa hio show.Nimeshangaa kwenye hiyo trailer ya dakika moja na nusu hajaonekana, nikataka kuuliza kaigiza kama nani?
Naona yeye ni moja ya producers wa hio show.
Hayo masikhara masikhara yenu huwa mnakuja kufirana kweli ohoo!Njoo nikupigie nao Ili Ujue Nina kiba100 au sina
Nadhani umesoma discretion yangu pale juu!Bado mapema acha na sisi tuiangalie
Kwa hyo ume nimaindi?Nadhani umesoma discretion yangu pale juu!