Staa wa filamu za Bollywood Sanjay Dutt yupo ndani ya Tanzania kwa sasa

Staa wa filamu za Bollywood Sanjay Dutt yupo ndani ya Tanzania kwa sasa

Mamake alikuwa pisi sana enzi zake alikuwa moja ya maqueen wa Bollywood enzi hizo
Yaani amekufa na uzuri wake,alitetemesha sana enzi hizo Bollywood!
Ila wenzetu wanashindana kazi jamani

Kilivotoka kizazi cha kina Nargis,Madhubala na Kina Meena Kumari,kikaja kizazi cha kina Rekha,Hema Malini,Jaya Bachan,Babita,then kina Nene(Madhuri),Juhi Chawla,Sri Dev(Rip pisi Kali kuwahi kutokea duniani),Neetu Sinh..wakaja kina Kajol,Karisma,Aishwarya,Rani,Mohima..wakaja kina Katrina,Kareena,Priyanka,Deepika..sasa hivi Kina Sara,Jhanvi,Kiara n.k
Bongo sasa[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]!!!!
Mimi kusema kweli sio mzalendo kabisaaa!!!!kwangu ni Star Gold,colors n.k
 
Ukitaka kuangalia picha ya kihindi inabidi uchukue likizo kabisa, maana stori inaanza kabla Sterling ajazaliwa mpaka anakuwa anakuja kuwa mwimbaji na kung-fu master, yaani si mchezo.
 
Kipindi nakuwa nimeiba sana hela home niende kwa Mbuluu pale mbauda na machalii zangu kuangalia picha za kihindi za akina Sunjay Dutty, Sunil Shety, Ajay Devgan, San Deol (Kabangi), Akshay Kumar, Mithun Chakarabot, Amrishpur, Amitah Bachan, Karishma Kapoor nawengineo.

Mambo ya utoto.
Kumbe tuko wengi tuliomchangia mmbulu mpaka akajenga gorofa kudadadeki
 
Back
Top Bottom