Mamake alikuwa pisi sana enzi zake alikuwa moja ya maqueen wa Bollywood enzi hizo
Yaani amekufa na uzuri wake,alitetemesha sana enzi hizo Bollywood!
Ila wenzetu wanashindana kazi jamani
Kilivotoka kizazi cha kina Nargis,Madhubala na Kina Meena Kumari,kikaja kizazi cha kina Rekha,Hema Malini,Jaya Bachan,Babita,then kina Nene(Madhuri),Juhi Chawla,Sri Dev(Rip pisi Kali kuwahi kutokea duniani),Neetu Sinh..wakaja kina Kajol,Karisma,Aishwarya,Rani,Mohima..wakaja kina Katrina,Kareena,Priyanka,Deepika..sasa hivi Kina Sara,Jhanvi,Kiara n.k
Bongo sasa[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]!!!!
Mimi kusema kweli sio mzalendo kabisaaa!!!!kwangu ni Star Gold,colors n.k