Staafisha watumishi wenye miaka 45 na zaidi,halafu anzisha ajira za mikataba ya miaka mitano mitano!

Ni makosa makubwa mno na hizo ni nadharia za watoto wadogo, miaka 45 ni kesho wewe utafikisha na nikuambie hakuna umri mtu anakuwa amekamilika na anamudu majukumu yake kama umri huu: 40-65! Kua uyaone.
 
Miaka 45+ ndo watu potential ndo wengi ni viongozi kwa maana ya uzoefu km umelala amka binafsi nilianza kuwa kiongozi at this aga ss nakaribia 50
 

Mkiambiwa mkasome muende shule muwe mnaenda kweli ona sasa hata hujui kama sheria za utumishi wa umma ni za kimataifa chini ya ILO na sio unajiamulia tu kama kunywa kangara, zimesha fanyika atempt nyingi kuhusu utumishi wa umma kabla ya hii iliyopo sasa huko nyuma.
 
Ifilisike mara ngapi
 
Hebu jiulize nurse anapewa million 28 akistaafu,kikokotoo ni ridandance tosha kwa mtumishi mwenye akili anapaswa kuachaa kazi mapema sana,serilkali haisemi tu kwamba watumishi wapishe,ila ujanja ujanja inaleta mifumo ambayo watumishi wachukie kazi,
 
Tatizo hawa vilaza wa siku hizi na vidigrii vyao vya madesa na chupi weupe mno, kazi zote zitasisimama na makampuni yatafilisika
Eti unakuta graduate wa Engineering ukimuuliza ahakiki kuwa nguvu ya mvutano ya dunia ni 9.8m/s^2 hajui
 
Ni makosa makubwa mno na hizo ni nadharia za watoto wadogo, miaka 45 ni kesho wewe utafikisha na nikuambie hakuna umri mtu anakuwa amekamilika na anamudu majukumu yake kama umri huu: 40-65! Kua uyaone.
Hayo majukumu utayamudu vizuri ukishapewa mafao yako na kuanza kuzalisha!
 
Performance unayojijazia mwenyewe ndio iwe kipimo?
Wastani wa performance ya miaka mitano mitano kwenye mfumo na uhalisia, rationalize hapo jibu linapatikana!!

Yaani,lets say kwenye mfumo performance ni 86 % mwaka wa kwanza uhalisia ni 78% tunaweza tafuta formula hapo kupata leverage!!
Ina wezekana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…