Kwenye CCM na Bunge wamejaa watoto wao.
Siasa za Afrika ni sawa na mti wenye majani mabichi yanayokufanya upende kwenda kukaa chini yake kwa sababu una kivuri kizuri ilihali chini kuna mchwa wanautafuna.
View attachment 2070224
Nchini Uganda Rais anayesemwa na mpinzani wake kuwa ni dikteta Yoweli Museveni anafikilia kuwanyima haki wananchi wa Uganda kumchagua Rais wao, ambapo anafikilia bunge ndiyo liwe na uwezo wa kumchagua rais mpya.
Bila shaka anapanga kufanya hivi ili kuja kulazimisha mwanawe ndiye aje kuwa rais, huku akijua kuwa hawezi hata kupata kura za kutosha kutoka kwa wananchi.
Hawa ndiyo aina ya viongozi wa kiafrika.
Ingekula kwa Samia wallahJobo kumchagua Rais