Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

Simba tu waungwana tumekubali matokeo

Leo tumeshindwa kuwafurahisha watanzania

Aksante.
 
Lakini yote kwa yote kwa kiwango cha simba kwa yanga atasubiri sana
 
Mpira umekwishaaaaaaa
Last week tulitukanwa sana hapa, tukaambiwa tunajipendekeza hahaaaaa
Leo vipi tena? Wenyeji wenye Simba yenu mko wapiiiiiiiii?
Naona wapambe ndio tumetawala hapa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom