Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
VPGuyz hivi Dstv zinatofautiana kulingana na location? Mbona kwangu sioni hyo mechi ya simba au nakosea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VPGuyz hivi Dstv zinatofautiana kulingana na location? Mbona kwangu sioni hyo mechi ya simba au nakosea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiwango cha kushindwa kupata goli ugenini?Lakini yote kwa yote kwa kiwango cha simba kwa yanga atasubiri sana
Hamsa...a.k.a tanoEngineer soma ngapi hukoooo?
😀😀😀😀Hao wakongo wanakula ngedere simba mnakula Chipsi mayai mtaendana kweli
Pole mpwa, punguza majivuno
Kwa mbinde wametufunga 5Kuna injinia humu naomba msaada anisomee namba hiyooooo
watu wamekula kona, wapo wanaosoma msg yako lakini hawana cha kujibu......tano😳.....nyingi sanaMpira umekwishaaaaaaa
Last week tulitukanwa sana hapa, tukaambiwa tunajipendekeza hahaaaaa
Leo vipi tena? Wenyeji wenye Simba yenu mko wapiiiiiiiii?
Naona wapambe ndio tumetawala hapa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndio mpira ulivyo,kila mtu anatambia kwakeMikia imetutia aibu
Yule mshika kibendera ni mpumbavu kukataa goli la sita kwa hakika ameniuzi kweli.La sita limeniuma jamaa sijui kwa nini hajatuliza kichwa
[emoji4] [emoji4] [emoji4] itabid tukuchunguze uraia wakoLa sita limeniuma jamaa sijui kwa nini hajatuliza kichwa
hahahaha 5-0Nasubiria pkupewa raha zote na Simba