Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

This is embarrassment unacceptably defeat..Simba 🦁 nguvu moja
 
β€œSimba ni timu nzuri lakini wanacheza mpira
ambao sio wa kasi, wanapiga pasi ambazo
kwenye mashindano hazina faida, wanapoteza
muda mwingi kupiga pasi za hapa na pale
badala ya kwenda mbele kutafuta nafasi. Sisi
tunarudi nyuma tukipata mpira tunacheza kwa
speed.”

Ina maana mcheza mieleka haya mapungufu hayaoni?!
 
Mechi ijayo acheze Munishi Itapendeza pale golini
 
Nyie kwani mmeshaupata huo ubingwaaa??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.....na wewe Malindi unawakumbuka????

Tungemfunga malindi tungeenda kucheza mechi gani ya kimataifa? Ubingwa wa FA na ubingwa wa ligi kuu ndio unaoipeleka timu anga za kimataifa
 
Tungemfunga malindi tungeenda kucheza mechi gani ya kimataifa? Ubingwa wa FA na ubingwa wa ligi kuu ndio unaoipeleka timu anga za kimataifa
Sasa na sisi kwani tungechukua FA tungeenda kucheza mechi gani za kimataifa zaidi ya tunazozicheza leo....kumbe issue ni kucheza mechi za kimataifa...mbona ndo wenzenu tunazicheza sahv...izo anga za kimataifa mnazotafuta kwenda ndo wenzenu tupo sahv
 
Unazeeka sasa na unaanza kupungukiwa akili, simba sc inawakilisha Taifa acha umaandazi!
kwa style hii acha tu nizeeke na hayo maandazi niyanywee chai tu....

sio kwa udhalilishaji ule aisee, mnawakilisha taifa mnarudi na kapu la magoli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…