Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

kwa style hii acha tu nizeeke na hayo maandazi niyanywee chai tu....

sio kwa udhalilishaji ule aisee, mnawakilisha taifa mnarudi na kapu la magoli?
Umesahau yaliyowakuta ninyi enzi za hayati Patrick mutesa mafisango nini kiliwapata? Muyalipe yale ya Vita tutayarudisha kwa mchina
 
Umesahau yaliyowakuta ninyi enzi za hayati Patrick mutesa mafisango nini kiliwapata? Muyalipe yale ya Vita tutayarudisha kwa mchina
YALISHAPITA HAYO MKUU, HABARI YA MJINI KWA SASA NI AS VITA 5 SIMBA FC SIFURI/ZERO/KAPA/NUNGE/BILA/MTUNGI/BESENI/KARAI/0/DUARA
 
Kumbe wameshazoea

Screenshot_2019-01-20-18-47-42.png
 
Sisi tumepewa kipigo cha mbwa koko tumeumia hatukatai...vipi na nyinyi si mlikuwa mnatunza bikraaa ipoooo..wametoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..mnataka kutumia kipigo chetu tulichopewa kuficha maumivu...tutakumbushana tu...kila mtu apambane na maumivu yake
Kubikiriwa ukubwani haina shida sana kwa kuwa ndio utu uzima huo, tatizo wenzetu mlibikiriwa mapema sana na sasa mmekubuhu! mnagawa mpaka 5G khaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye huu uwanja waliwahi kunyongwa mawaziri mbele ya raia
 
Back
Top Bottom