Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
umeona eeeeeNdo mana siku hizi unakua wa mwisho kureply
Umesahau yaliyowakuta ninyi enzi za hayati Patrick mutesa mafisango nini kiliwapata? Muyalipe yale ya Vita tutayarudisha kwa mchinakwa style hii acha tu nizeeke na hayo maandazi niyanywee chai tu....
sio kwa udhalilishaji ule aisee, mnawakilisha taifa mnarudi na kapu la magoli?
YALISHAPITA HAYO MKUU, HABARI YA MJINI KWA SASA NI AS VITA 5 SIMBA FC SIFURI/ZERO/KAPA/NUNGE/BILA/MTUNGI/BESENI/KARAI/0/DUARAUmesahau yaliyowakuta ninyi enzi za hayati Patrick mutesa mafisango nini kiliwapata? Muyalipe yale ya Vita tutayarudisha kwa mchina
YAANI NAKUNYWA NA NAOGELEA KABISA
Kwema kabisa kiongoziNimeisha poa kwema lakini huko?
HA HA HA
Kubikiriwa ukubwani haina shida sana kwa kuwa ndio utu uzima huo, tatizo wenzetu mlibikiriwa mapema sana na sasa mmekubuhu! mnagawa mpaka 5G khaa!Sisi tumepewa kipigo cha mbwa koko tumeumia hatukatai...vipi na nyinyi si mlikuwa mnatunza bikraaa ipoooo..wametoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..mnataka kutumia kipigo chetu tulichopewa kuficha maumivu...tutakumbushana tu...kila mtu apambane na maumivu yake
Kumbe kugawa 5g ni kukubuhu...na kugawa 6g jeππ..kati ya sisi nanyinyi nani kakubuhuππππKubikiriwa ukubwani haina shida sana kwa kuwa ndio utu uzima huo, tatizo wenzetu mlibikiriwa mapema sana na sasa mmekubuhu! mnagawa mpaka 5G khaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
mechi 3 point 3 naona mnajipozaNi mwendo wa mkono
Zbc2Azam wataonyesha kweli?
kwenye huu uwanja waliwahi kunyongwa mawaziri mbele ya raia
Enzi ya Rais Mtukufu wa Maisha Dikteta Kukubendu Wa Zabanga
πππππYALISHAPITA HAYO MKUU, HABARI YA MJINI KWA SASA NI AS VITA 5 SIMBA FC SIFURI/ZERO/KAPA/NUNGE/BILA/MTUNGI/BESENI/KARAI/0/DUAR
Nahisi yatajirudia tenaπππππ
π€£π€£π€£π€£Kumbe kugawa 5g ni kukubuhu...na kugawa 6g jeππ..kati ya sisi nanyinyi nani kakubuhuππππView attachment 1001732