Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

Fc vita 2 simba fc 0 kazi kweli kweli
 
Somaa hiyoooooooo,
Yaaani leo ni tatally fiesco, kama siyo 5 beseni basi itakuwa 7 bila, key yuu emuu ei simba nyootee
 

Hakutakuwa na magoli ya offside leo, hili nina uhakika nalo...Magoli ya offside ni uwanja wa Taifa Dar tu
 
Mnachoza vita wakati kupigana hamuwezi, pambaf zenu, tulieni wanaume wawapase
 
Simba wanamiliki mpira 54% kwa 46%. lakin goli za chap chap 2 zinauma sana dk 14 na dk 19 Vita wametupiga mabao. Sasa ni kama dak 30 hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…