Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Nitaajiriwa jf, mnanitabiria sana.We ni mod tunakujua.
Vipi ID zao nyingine zile wanazozitumia kuchambana na members kuna namna ya kuzifahamu?Staff members wanapiga kazi kubwa sana, leo nimejisikia tu kuwapostπ.
Tag staff member wako mmoja unaemkubali sana, hata kama ashawahi kukufutia uzi au kukulamba block/ban then ukamjua we mtaje tu maana sisi wote ni people.
View attachment 3226026
View attachment 3226027
View attachment 3226028
View attachment 3226029
Sio kweli wewe wa moto sana kwenye sekta hio nakupigia salute mkuuSinaga huo muda wa kuwaombea watu ban, kwanza hata hao mods watanishangaa..!!
Ile button ya Ban ndio inashikwa na hao hapo kua makini utachezea banHivi Hawa ni kina nani huko Jf ?
View attachment 3226045
Mh!Hawajai kunijiibu kwa wakati nikiwa na changamoto mpaka niwatukane ndio waitane wote waje kujibu pm yangu kwa pamoja
Kama nasema uongo niweke hapa screenshot
Hujui ku-share maongezi binafsi (PM) ni kosa?Kama nasema uongo niweke hapa screenshot
Say something, anything. Well I mean write/post something.
Ni invisible umesemaHivi Invisible aliendaga wapi?
π πNi invisible umesema
Jukwaa la Kimataifa liko wazi, members wengine ni mashahidi. Hakuna aliyewahi kuomba access ya jukwaa hilo.Active nilimwambia anipe access ya jukwaa la kimataifa akasema mpka niweke uzi utakaoonesha uwezo wangu ndo aniunge huko. Yaani kumbe hana haja na replies yeye ni uzi tu.