Staff members wa JF waliopo online

Staff members wa JF waliopo online

Pongezi kwao wote Kwa kazi nzuri waifanyayo kuhakikisha tunaendelea kuperuzi majukwaa mbalimbali humu bila changamoto.

Na Kwa namna wanavyo tuhudumia Wazee humu tukiwa na matatizo yetu, kweli wanaiishi ile kauli kwamba "Mpishe Mzee kwanza"

Hapa nina mpango wa kupeleka ombi maalumu Kwa Mkurugenzi Mkuu, nitakapokuwa natimizia miaka 79 mapema Mwezi Ujao, niwaarike Kwa chakula cha Mchana hapa Kijijini kwangu

Hela ya mafuta na Posho itatoka kwangu 🤗
 
Back
Top Bottom