Staff members wa JF waliopo online

Staff members wa JF waliopo online

Wakifanya hivyo sikia nenda kampe ushahidi Maxence Melo atalifanyia kazi fasta sana au mcheki kwenye wasapu kule atalifanyia kazi jamaa yupo vizuri sana sema vijana wake ndio wamekuwa miyeyusho sana
YEah nilifanya hivyo,. Nilimtafuta Whatsap na alinisolvia tatizo langu... Ila hawa wachumia tumbo wengine nimewanyoshea mikono juu.

I wishi siku moja Maxence Melo anialike nikajionee wenyewe jinsi wanavyofanya kazi
 
Back
Top Bottom