Staff members wa JF waliopo online

Staff members wa JF waliopo online

Ndio anaekupaga ban nn my Wii😂
Wii ban za selfika umezisahau?? 😹
Nikikumbuka nachekaga sana, kuna zile tulipewa wengi km mvua ila wewe hukuwepo.!!
Ile siku saint Anne alilalamika hadi ngunyani zake zimefutwa, akapost tena zikafutwa, tukaanza kuwachamba mods tukala ban wote tuliokuwa tunamsema mod aliyekuwa anafuta picha na comments 🤣🤣🤣

Nilicheka walivyosema eti kuna wenzio walikuwepo wakaondoka wakatuacha, wewe kazi umeanza juzi unaleta ujuaji na mods hawamjui 😹😹 ila watu wa selfika vibuyu sana.!! Mara pap tuakatembezewa ban za kutosha tukaja kuachiwa kesho yake wacha tucheke 🤣🤣🤣
 
Itakuwa kweli sikuwepo Wii 😂😂😂
Sema mnajua kuwapelekesha mods kuwawekea uangaliz km nawaona walivokuwa wamekaa Hapo selfika kuwaangalia 😂😂
 
Back
Top Bottom