Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Ila selfika jamaniWii ban za selfika umezisahau?? 😹
Nikikumbuka nachekaga sana, kuna zile tulipewa wengi km mvua ila wewe hukuwepo.!!
Ile siku saint Anne alilalamika hadi ngunyani zake zimefutwa, akapost tena zikafutwa, tukaanza kuwachamba mods tukala ban wote tuliokuwa tunamsema mod aliyekuwa anafuta picha na comments 🤣🤣🤣
Nilicheka walivyosema eti kuna wenzio walikuwepo wakaondoka wakatuacha, wewe kazi umeanza juzi unaleta ujuaji na mods hawamjui 😹😹 ila watu wa selfika vibuyu sana.!! Mara pap tuakatembezewa ban za kutosha tukaja kuachiwa kesho yake wacha tucheke 🤣🤣🤣
Mimi walinipa ban ya kucoment ule uzi kisa nilisema kipilipili 🤣🤣