Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua ndo huyo mrembo wanaemtaja humuaf kuna yule ukipiga simu anapokea sijui ni mmama anajishauli sana kupokea simu
Yule anaonekana ni mmama siku ya kwanza nampigia anapokea anasema niambie mwanangu changamoto nini?Itakua ndo huyo mrembo wanaemtaja humu
Naona limeshughulikiws na hiyo comment ya matusi imefitwa.Tumia kitufe cha kuripoti tuone hayo matusi
Kama triple 7 ingekuwepo ungewapeleka pale wanywe mpaka walewe hiyo siku kunakua hakuna banHawa nataka siku niende kwenye HQ Yao pale kawe tupige supu 😎
Duh!, watu noma.Cookie Nimemfatilia sana anaishi goba njia nne. Namkubali kichizi nataka kujitosa mazima humo
Shauri yako ukipigwa ban!!Cookie Nimemfatilia sana anaishi goba njia nne. Namkubali kichizi nataka kujitosa mazima humo
😂😂😂 Hapo kwenye "wenzio walikuwepo wakaondoka wakatuacha" 😂😂😂Nilicheka walivyosema eti kuna wenzio walikuwepo wakaondoka wakatuacha, wewe kazi umeanza juzi unaleta ujuaji na mods hawamjui 😹😹 .
Uje ujichanganye siku moja ndo utawajua vizuri 😂Hakuna hata mod ninayemjua ila naskia huwa wanapiga ban
Uje ujichanganye siku moja ndo utawajua vizuri
Kumbe ndo maana dislikes 😡 zote kwenye hii thread ni yakwako , aisee pole sana 😂Siwapendi wote
Shauri yako ukipigwa ban!!
Na ukawape salamuKumbe ndo maana dislikes 😡 zote kwenye hii thread ni yakwako , aisee pole sana 😂
Utaripoti sana, usitegemee kuwachokoza watu wakuchekee, ukijibiwa ukimbilie kuripoti..!!Unaweza Kuta karipoti mara kibao ila hamjalifanyia kazi kuweni sana makini pindi tunapo ripoti ili mpate taarifa kwa wakati maana hata Mimi huwa naripoti haifanyiwi kazi mpaka niwafate pm badilikeni ndugu zangu
Anawachosha tu, huyo ni mchokozi akijibiwa anajileta kulia lia.. kuna siku aliniripoti uzi tuligombana na member wengine mwaka juzi na adhabu tulipewa.!!Hakuna reported post ambayo haifanyiwi kazi.