Msaada kila nikivaa naambiwa sijapendeza kwakuwa nina kitambi.nivaeje nitokelezee kifashonista!!
mmh!!!!Atatokeleazeaje lol
Vaa kata mayenu halafu tupia na sasipenda...
shem na ww una kitambi?
Lol kitoke wapi shem...huwa nafanya zoezi kila kinaponinyemelea
Kiko kama embe bolibokitambi chako kikoje?