staili gani ya uvaaji wa nguo inapendezea watu wenye vitambi?

mopaozi

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
3,300
Reaction score
525
Msaada kila nikivaa naambiwa sijapendeza kwakuwa nina kitambi.nivaeje nitokelezee kifashonista!!
 
Tafuta dawa ya kuharisha uharee wee mpaka kitambi kibinyee yaludie mavazi yako ya zamani yatakutoa upendeze
 
Hv hakuna nguo spesho za sie wenye vitambi
 
Haaaa vaa kipapaa mkanda unakuja kuufungia kifuani au vaa mayenu au kama pepe kale kama ulivyoshauriwa na bornagain na Erickb52
 
Last edited by a moderator:
kitambi hakipendezagi mtu hata siku moja. jitahidi kiishe tu.
 
Msuli au kanga

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Piga bukta kisha ivute juu ifunike kitambi hapo kwisha habari yake.
N;B. Usisahau na kiatu cha Mkuki moyoni ukisindikizia na soksi za pundamilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…