Habari zenu wa TZ.
Tangu huu mwaka uanze nimehudhuria harusi nne tofauti, huwezi amin zote ukiangalia ni kwamba bwana harusi ametupia kwanza a.k.a PILOT.
YAANI MABIBI HARUSI NI WAJAWAZITO tena wanakua karibu kuzaa. Imekua ndo stail hapa mjin.
Kutoka na hilo, nafikiria kuwa enterpreneur kwa kufungua duka la shela za wadada wajawazito (lady in preginancy gown).
Kwa hii stail ya harusi jamani naona haijakaa vizuri, yaani hata heshima ya ndoa, ibada ya ndoa inapungua.
Halafu mkimaliza harusi, mnaenda honeymoon.
Wadada please, jitahidini kusubiri ndoa kisha ndo muanze kutafuta watoto.
Wadada wengi huwa wanaporomosha mizigo na kujiweka katika hatari ya ugumba. Vijana wa sasa wana weka PILOT kuona kama inadumu. Ikivuka miezi sita haimsumbui na bed-rest, ngoma inabebewa ndani kwa harusi nzito. Ikisumbua miezi ya mwanzo, wanaume wengi hujichomoa.
WAVULANA+WASICHANA, acheni ngono nzembe za ujanani ili muoane mkiwa fit, sio mdada tumbo huko!!!!!!! Aibu!!!
mhh!! kwenye thread za 'mume/mke ni mgumba/hapandi mtungi' watu wanashauri 'shake well before use'. Kwenye thread hii watu wanashauri wakaka/dada wasubiri mpaka ndoa ndio waduu. naona kuna ukinzani wa mawazo. make up your minds people
nashauri consistency.Watu wanashauri, je wewe unAsemeje?
Wakaka pia wajitahidi kusubiri.
Habari zenu wa TZ.
Tangu huu mwaka uanze nimehudhuria harusi nne tofauti, huwezi amin zote ukiangalia ni kwamba bwana harusi ametupia kwanza a.k.a PILOT.
YAANI MABIBI HARUSI NI WAJAWAZITO tena wanakua karibu kuzaa. Imekua ndo stail hapa mjin.
Kutoka na hilo, nafikiria kuwa enterpreneur kwa kufungua duka la shela za wadada wajawazito (lady in preginancy gown).
Kwa hii stail ya harusi jamani naona haijakaa vizuri, yaani hata heshima ya ndoa, ibada ya ndoa inapungua.
Halafu mkimaliza harusi, mnaenda honeymoon.
Wadada please, jitahidini kusubiri ndoa kisha ndo muanze kutafuta watoto.
tunaogopa kuuziana mbuzi kwenye gunia. ni bora mjuane ili mkubaliane kivyovyote
Unajua unaweza kwa sasa unaweza oa mwanamke ambaye kizazi kimeharibika na hazai tena, kutokana na wengi kutumia madawa ya kuzuia mimba kwa muda mrefu. Nina rafiki aliyeoa mwanamke ambaye alisha zaa na jamaa mwingine lakini yeye hakuweza pachikwa kizaigoti jamaa akaamua kutoka nje na ana watoto 2 nje ya ndoa lakini kwa mkewe hamna kitu.
Wengi wanaume kutokana nahilo wanaamua kutest zali kwanza akiona mwanamke hatemi mate mwaka mzima anatoka unyoya......
Wanasoma alama za nyakati teh teh teh tehh uuuuhahahahaha......