Staili mpya ya kufunga ndoa yaingia.

Ndoa hizo huwa za shinikizo kukwepa aibu, binti anaechungwa sana akitiwa ujauzito wazazi wake hulazimisha aliyempa ujauzito huo amuoe, pia wanaume wengi wanaofunga ndoa hizi huwa ni watoto wao wa kwanza, hivyo huwa na furaha na kutaka kuishi pamoja na mama na mtoto. Ndoa hizi mara nyingi hazidumu. Siyo staili mpya ya kufunga ndoa ni matokeo ya kuanguka kwa maadili.
 
kwenye red..ndo unamsifia huyo rafiki yako au??stupid!!na umesikia wapi dawa za kuzuia mimba zinaharibu kizazi??do your research before you speak..unaonekana mpumbavu!

matuya nini kwa great thinker?
 
matuya nini kwa great thinker?

matuya?? silijui hilo neno..ni lugha gani??
kama ulimaanisha 'matusi ya nini..' sijatukana mtu yeyote..i have simply put into words what i feel about a person having such a line of thought..it is not 'great thought' and not a clever one surely!
 
kwani wadada wanapata hiso mimba kwa kuotesha tu??mwanaume hana part to play kabisa??kwa nini mwanamke asuburi mpaka ndoa ila mwanamme akitembeze tu??this type of though is soo 18th century!

1. Mwanamke ana nafasi kubwa sana katika hili, akigoma kukianika, mwanaume hatakigusa hadi ndoa.
2. Mwanamke ndiye anayevimba na jamii yake huona ni kudhalilishwa kuliko familia ya wa kiume
3. Mwanamke hawezi kuikataa mimba kuwa siyo yake bali wanaume wengi hufanya hivyo, ndio maana tunawaomba wasichana wasichanue ovyo, wakikataliwa wao hawawezi kuikataa na wengi huishia kujiua au kufa wakiitoa mimba.

Therefore Dada PHINA, kuelekeza zaidi maonyo kwa wasichana sio mawazo ya 18th century kama ulivyowaza.
 
Unataka kusema ni ngono nzembe AU wanafanya makusudi?

Wanafanya makusudi. Wanaopeana mimba siku hizi ni wale wanaojishuku kuwa wagonjwa wa HIV na kusema LIWALO NA LIWE. Kwa anayejijua ni mzima hawezi fanya nchomeka nchomoa pekupeku kujilengesha bastola kwenye paji la uso.
 
Hajakaa vizuri ndo bomba unajua ni makubalia kati ya wawili wanaopendana kwa hiyo huwezi kujua maisha ni safari ndefu,
 
Tatizo wakaka hatusomeki, we unakuwa na msichana miaka mitatu unakula mzigo unachapa lapa mtoto akiuliza ndoa ooh bado najiaandaa. so demu anajishikisha mimba halafu anaanza kukupa pressure oh baba mkali, shangazi. oh mimi uso nitauweka wapi.

Hapo lazima utangaze ndoa
 

Sifa moja kubwa ya MJASIAMALI ni kuangalia fursa zilizopo nakuja na idea nzuri ambayo itaondoa tatizo lililopo la kutokuwepo LADY IN PREGNANCY GOWN then kwa upande wa pili linamwingizia kipato na si kubaki kulalamika. BIG UP KOMAA NA IDEA wateja atakutafutia Neema
 
Last edited by a moderator:

Hii inaweza kuwa sababu hiyo ya pili ya mke sometimes wanaume huwa wana run away unless labda jamaa awe financially stable japokuwa kuna ambao ni wajasiri ambao mara nyingi issue kama hizo huwashirikisha watu mbalimbali na kutiwa nguvu na ujasiri na kubeba mzigo
 
Mmhh, labda ili mtu awe na imani ana test kwanza then ikijibu ndio anaamua kufunga chapuchap ili mtoto asije akahudhuria harusi ya wazazi wake!
 

akiwa tayari atangaze kule jukwaa la business,wanajamii lazima twende tukamuungishe lol:sleepy:
 

Kwasasa ni bora UOE Mwanamke akiwa na ujauzito manake unawza uziwa mbuzi kwenye gunia ndugu yangu. Wanawake wa kizazi hiki wamezidi kutoa mimba mwishowe wanashindwa kupata Ujauzito kwa kuchezea vizazi vyao mwisho mimba inadunda kwenye ukuta inarudi unategemea nini sasa hapo?

Kizazi ukikitibua sana kwa kutoa mimba kinalegea ndio maana kuna umuhimu wa kuoa demu ambaye umeshamzalisha au akiwa ana Ujauzito ili kukwepa matatizo ya masister du wa kileo.
 
hivi kwani tunaolewa ili tuzae???

mie mbona nimepanga kutokuwa na mtoto,does that mean na mume nipotezee?:wacko::A S-baby:
 
kwenye red..ndo unamsifia huyo rafiki yako au??stupid!!na umesikia wapi dawa za kuzuia mimba zinaharibu kizazi??do your research before you speak..unaonekana mpumbavu![/QUOTE

Phina usijichoshe...post zingine zinakera sana, kwake yeye anaona sifa
 
Is it true?
 
mhh!! kwenye thread za 'mume/mke ni mgumba/hapandi mtungi' watu wanashauri 'shake well before use'. Kwenye thread hii watu wanashauri wakaka/dada wasubiri mpaka ndoa ndio waduu. naona kuna ukinzani wa mawazo. make up your minds people

sasa nyie wakaka ndo mnakuwaga na ving'ang'anizi kama kupe
 
ujue nn vile samtymz tatizo sio kwa mwanamke kutozaa ila kile kibamia kikiwa inch 8 mpaka 9 kinasukuma uterus to an extent that the woman can't conceive sidhani kama wanaume wanaufahamu juu ya hili kwasababu ikitokea mtoto hajapatikana mwanamke ndo analaumiwa while it might not be the case au labda mwanaume ana produce low sperm count afu hazina nguvu so fertilization haiwezi tokea kama sperms haziwezi kuogelea mpaka kwenye ovum for fertilization wat do you expect ,mupo wanaume
 
Mbona sio staili mpya bana? Imeanza zamani sana labda wewe hukuwahi kuona maana ulikuwa kababy.
 
Mimba ya kwanza inaweza kua shwari lakini zinazofuata zika sumbua.Mifano ipo mingi sana.

Nxhaaah........kwa hiyo ewe Tegemea, sasa unataka kusemaje hapo............?!?!?!?!?!

Hii ishu ya kwenda kufungishwa ndoa "watu watatu" sioni kama imekaa vizuri kwakweli!!!

Mwaweza kukubaliana kucheki afya na kila kitu katika via vya uzazi kuona kama viko fresh au la....lkn hii style siifagilii kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…