Stamina vs songa..Kuna mtu kakalishwa

Kumbe umewaza kama mimi
 
Stamina eti verse yangu moja ni sawa na album sita za timbulo
 
Yupo wap saa hz
Yupo jamaa toka 2015 alikosa uelekeo wa game. Alianza kuimba mambo hayaeleweki.
Juzi kati walifungia track yake I'm sorry JK naona ndoto za game zimeshaanza kumshuka
 
Songa ni habari nyingine(flows na swags), Stamina namwelewa kwenye "punch"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…