Stamina vs songa..Kuna mtu kakalishwa

Stamina vs songa..Kuna mtu kakalishwa

Hiyo hiyo uliyoona wewe, hata anavyo hasitate unajua tu kabisa ni mtu anayefikirisha kichwa kutafuta punch lines,

ila stamina alikuwa anaflow tu alafu ni mistari iliyopangwa kabisa, japo Songa raund ya pili alianza na yy kama pale alipokuwa anaongelea magroup ya whatsapp unajua kabisa ni vitu alishaandika kabla na vipo kichwani..
Kumbe umewaza kama mimi
 
Yupo wap saa hz
Yupo jamaa toka 2015 alikosa uelekeo wa game. Alianza kuimba mambo hayaeleweki.
Juzi kati walifungia track yake I'm sorry JK naona ndoto za game zimeshaanza kumshuka
 
Songa ni habari nyingine(flows na swags), Stamina namwelewa kwenye "punch"
 
Back
Top Bottom