jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Songa anatoa kichwa n stamina kameza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe umewaza kama mimiHiyo hiyo uliyoona wewe, hata anavyo hasitate unajua tu kabisa ni mtu anayefikirisha kichwa kutafuta punch lines,
ila stamina alikuwa anaflow tu alafu ni mistari iliyopangwa kabisa, japo Songa raund ya pili alianza na yy kama pale alipokuwa anaongelea magroup ya whatsapp unajua kabisa ni vitu alishaandika kabla na vipo kichwani..
Tz sijawahi kuona kama zohan kwenye freestyle..na pia kughani yupo vizuri saanaNick mbishi freestyle yupo poa sana
Yupo wap saa hzTz sijawahi kuona kama zohan kwenye freestyle..na pia kughani yupo vizuri saana
Yupo jamaa toka 2015 alikosa uelekeo wa game. Alianza kuimba mambo hayaeleweki.Yupo wap saa hz
Hamna freestyle Baba...Michano tu
[emoji23][emoji23]Kumwachia huru style
Hawaperform ni battle ya michano ambayo walikuwa nayo kichwani ama walishayaandaa