OCC Doctors
Senior Member
- Jul 20, 2018
- 113
- 172
Kumwaga mbegu kabla ya wakati (Prеmаturе ejaculation) ndio dalili kikuu ya upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume. Ni hali ya mwanaume kushindwa kuchelewesha msimamo wa tendo la ndoa ili kufaidisha na upande wa pili kwa mwenza wake.
Nguvu za kiume hutofautiana kwa mtu mmoja hadi mwingine. Kumwaga mbegu ndani ya dk5 hadi 15 bado ni udhaifu. Msimamo wa kawaida unatakiwa kuendelea walau kwa uchache dk30 hadi 40 bila umwagaji wa mbegu.
Wanawake mara nyingi huchukua muda mrefu zaidi kupandisha hisia na kufikia kilele cha tendo kuliko wanaume. Wanawake wanatatizika na wanaume wanaowahi kumaliza mshindo, na huvutiwa na kupendezwa zaidi na wanaume wenye kustahimili msimamo.
Kuna athari za kisaikolojia ikiwa mwanamke hafikii mshindo wa tendo la ndoa. Athari hizi hujumuisha muitikio wa afya ya akili ikiwemo kutojiamini au kuwa na wasiwasi, hasira za mara kwa mara na kujihisi mpweke. Mwanamke huchanganyikiwa zaidi apatapo habari hizo za kufika kileleni kutoka kwa rafiki zake.