Stamina ya mwanaume katika tendo la ndoa kabla ya mshindo

Stamina ya mwanaume katika tendo la ndoa kabla ya mshindo

wapunguze kutesa wababa,,wachunguze kwanza wanawake,, unaweza tumia hata masaa mawili na asifike kileleni

Tuna life style mbovu,,kuingiza mavitu huku chini kila kukicha,mara dildo,mara marashi,mara limao,asali ........nk

maumbile yanachoka magonjwa kuvamia..............wacha niache tu,,bado stress za vikoba uuuuweeeeh 😂
Uko sahihi, past ya mwanamke pia inahusika sana .

Inabidi wanaume wawe makini sana sikuhizi.
 
Su
Kumwaga mbegu kabla ya wakati (Prеmаturе ejaculation) ndio dalili kikuu ya upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume. Ni hali ya mwanaume kushindwa kuchelewesha msimamo wa tendo la ndoa ili kufaidisha na upande wa pili kwa mwenza wake.

Nguvu za kiume hutofautiana kwa mtu mmoja hadi mwingine. Kumwaga mbegu ndani ya dk5 hadi 15 bado ni udhaifu. Msimamo wa kawaida unatakiwa kuendelea walau kwa uchache dk30 hadi 40 bila umwagaji wa mbegu.

Wanawake mara nyingi huchukua muda mrefu zaidi kupandisha hisia na kufikia kilele cha tendo kuliko wanaume. Wanawake wanatatizika na wanaume wanaowahi kumaliza mshindo, na huvutiwa na kupendezwa zaidi na wanaume wenye kustahimili msimamo.

Kuna athari za kisaikolojia ikiwa mwanamke hafikii mshindo wa tendo la ndoa. Athari hizi hujumuisha muitikio wa afya ya akili ikiwemo kutojiamini au kuwa na wasiwasi, hasira za mara kwa mara na kujihisi mpweke. Mwanamke huchanganyikiwa zaidi apatapo habari hizo za kufika kileleni kutoka kwa rafiki zake.

View attachment 3053861
Ungekuja na suluhisho au tuendelee kijibust na vumbi 🤔
 
Sio kweli.
Kwa maandishi haya unaonekana si mtaalam wa afya.
Mwanaume kikawaida kabisa na kiafya anatakiwa kuweza kuhimili tendo ndani ya dakika 5 mpaka 15 tu. Zingine za nyongeza ni kutokana na experience ya mhusika.

Acha kuwadanganya watu , wazungu wameshafanya tafiti za kutosha. Huu ni upotoshaji.
Bora na ww umeliona hilo mkuu...Eti mtu mshindo wa kwanza tu achukue robo saa duh! Kwakweli JF ni jukwaa huru.
 
Kama kimaumbile mwanamke anachelewa kufika basi ilo sio tatizo la mwanaume. Ukisema mwanaume ajizuie ili kumfaidisha mwenzake maana yake mwanaume hana tatizo isipokua anamfanyia favor mwenzake. Kilele cha tendo ni kufika kileleni sasa kati ya anaewahi na anaechelewa au hafiki kabisa ni nani mwenye tatizo?

Wapo wanawake wanaofika kilele hata ndani ya dakika 5 tu ni suala la uamuzi na utimilifu wa kimaumbile wa mwanamke mwenyewe. Unafanya sex na mwanamke ana maex 7 muda wote wa shughuli anakulinganisha na maex wake, mwanamke ashaalibu afya kwa kula chipsi mayai, piza n.k, mwanamke anawaza utamuachia shilingi ngapi wakati wa kuondoka unategemea nini hapo.

Hii tabia ya kurusha lawama kwa wanaume tu inafanya wanawake wanajisahau na matokeo yake hawataki au hawajui na wao wanatakiwa kuwajibika. Kinachoitwa upungufu wa nguvu za kiume ni stereotype tu kwenye jamii ila tatizo haswa lipo upande wa mwanamke
Hii pointi kuntu, umemaliza kilakitu. Kumwaga ndani ya dakika 5 siyo udhaifu. Mm siamini kama kuna upungufu wa ngumu za kiume.
 
Hii pointi kuntu, umemaliza kilakitu. Kumwaga ndani ya dakika 5 siyo udhaifu. Mm siamini kama kuna upungufu wa ngumu za kiume.
Kabisa yan,,mi mwanaume akizidsha hapo naona ananinyanyasa tu.
 
Hii pointi kuntu, umemaliza kilakitu. Kumwaga ndani ya dakika 5 siyo udhaifu. Mm siamini kama kuna upungufu wa ngumu za kiume.
Upungufu wa nguvu za kiume ni kama mwanaume anashindwa kusimamisha kabisa au hawezi kuendelea round ya pili baada ya round ya kwanza(kwa kawaida mwanaume anahitaji dakika 40 aendelee round ya pili, ingawa wapo wanaoweza kuendelea baada ya muda pungufu zaidi) tofauti na hapo mwanaume yupo sawa kabisa.

Kuwahi kumwaga sio tatizo. Kama unataka kuchelewa kumwaga ni suala la kui-tune tu saikolojia yako wakati wa tendo vile vile kuna aina ya vyakula, dawa au mazoezi ya kufanya ili uchelewe kumwaga.

Kujichelewesha kumwaga ni favor tu ambayo mwanaume anaifanya ili kumtosheleza mwanamke, sio lazima mwanaume kujichelewesha.
 
Hii tabia ya kurusha lawama kwa wanaume tu inafanya wanawake wanajisahau na matokeo yake hawataki au hawajui na wao wanatakiwa kuwajibika. Kinachoitwa upungufu wa nguvu za kiume ni stereotype tu kwenye jamii ila tatizo haswa lipo upande wa mwanamke
Umewakalia kooni wanawake kisawasawa.

Kazi nzuri mkuu
 
Sio kweli.
Kwa maandishi haya unaonekana si mtaalam wa afya.
Mwanaume kikawaida kabisa na kiafya anatakiwa kuweza kuhimili tendo ndani ya dakika 5 mpaka 15 tu. Zingine za nyongeza ni kutokana na experience ya mhusika.

Acha kuwadanganya watu , wazungu wameshafanya tafiti za kutosha. Huu ni upotoshaji.
Jamaa anawapanga tu watu, dikika 30 hadi 45, hiyo ni kila siku au kila mwaka.
 
Hakuna mwanaume kamili ( normal) anayeweza kufanya hivyo..watu mnatumia maviagra mnakuja huku kudanganya watu
 
Hii ni peugeot 504....Dakika ni 3 za penetration take it or leave it.
 
Mimi nilijuwa kuwahi kukojoa ni kutokana na raha anayokupa huyo mwanamke.. Kuna wanawake wengine muda wa kuburudika nao wanaleta raha sana.. Mwili laini naniu laini hadi raha.. Kuna wengine mwili mgumu nguvu nyingi mnaananiu kama ugomvi vile..

Lakini naniu tamu aisee huchelewi, kila ukichomoa hivi inavutia tena ndani😂😂.. Na ujue sisi wanaume mapenzi ni hisia, unajisemea "duh mashine iko fresh balaa" ndio hapo kizuia umwagaji wa haraka ni ngumu balaa.. Kumbe hamjawahi kuona naniu tamu?? Hufiki dk15 umemwaga.. Lakini ukikutana na ya hovyo, hata saa nzima humwagi mpaka unaamua kugaili, au umwaze demu wa siku zileee ndio unamwaga..

Sijui nimeeleweka hapo..?? 🤣🤣
 
Back
Top Bottom