kabila01
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 4,235
- 4,964
Habarini wakuu
Mara tatu nimefuatilia kipindi cha Stand up Comedy (WATU BAKI) kinachorushwa na channel "Maisha Magic Bongo 160" kupitia king'amuzi cha DSTV.
Nimemuona kijana anaitwa Deogratius ni balaa yaani ikifika session yake wote tuliokaa sitting room tunacheka mpaka tunatoa machozi achilia mbali wale waliopo live pale ukumbini
Kijana huyu akiendelea kukaza buti atafika mbali sana na kuwapita hawa mastaa wakubwa waliopo