Lipia tangazo hili deo usituchukulie poa!Habarini wakuu
Mara tatu nimefuatilia kipindi cha Stand up Comedy (WATU BAKI) kinachorushwa na channel "Maisha Magic Bongo 160" kupitia king'amuzi cha DSTV.
Nimemuona kijana anaitwa Deogratius ni balaa yaani ikifika session yake wote tuliokaa sitting room tunacheka mpaka tunatoa machozi achilia mbali wale waliopo live pale ukumbini
Kijana huyu akiendelea kukaza buti atafika mbali sana na kuwapita hawa mastaa wakubwa waliopo
Umetumia vigezo gani kujua hakuna?Tanzania hakuna stand up comedy
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lipia tangazo hili deo usituchukulie poa!
Dave ChappelleUmetumia vigezo gani kujua hakuna?
Last week ilikua "Mbele za mademu" school ilikua ukiazibiwa mbele za mademu unakaza unajifanya stick haziumi unaonyesha umwamba, ukiadhibiwa mbele ya masela wenzio unalia kishenzi na kulalamika. Hata yesu alipoadhibiwa na pilato kwa kua kulikua na mademu alikaza, akabeba msalaba alipokua njiani akawaona wanawake akakaza akawaambia msinililie mimi lilieni vizazi vyenu na watoto ila alipotokea Simon Yesu akaanguka oyaaa simoni nisaidie msalaba mzito hahahahahahahahahahHuyo jamaa ni genius aisee bonge la stand up comedian
Yani namkubali jamaa ni comedian sana anajua kuunga matukio juzi kanichekesha na mbele ya mademu alivyoiungia kwa YesuHabarini wakuu
Mara tatu nimefuatilia kipindi cha Stand up Comedy (WATU BAKI) kinachorushwa na channel "Maisha Magic Bongo 160" kupitia king'amuzi cha DSTV.
Nimemuona kijana anaitwa Deogratius ni balaa yaani ikifika session yake wote tuliokaa sitting room tunacheka mpaka tunatoa machozi achilia mbali wale waliopo live pale ukumbini
Kijana huyu akiendelea kukaza buti atafika mbali sana na kuwapita hawa mastaa wakubwa waliopo
Mkuu hongera sana kwa ulivyoandika unafuatilia sana ,,mwenyewe nafanya naye but he's my finest comedianLast week ilikua "Mbele za mademu" school ilikua ukiazibiwa mbele za mademu unakaza unajifanya stick haziumi unaonyesha umwamba, ukiadhibiwa mbele ya masela wenzio unalia kishenzi na kulalamika. Hata yesu alipoadhibiwa na pilato kwa kua kulikua na mademu alikaza, akabeba msalaba alipokua njiani akawaona wanawake akakaza akawaambia msinililie mimi lilieni vizazi vyenu na watoto ila alipotokea Simon Yesu akaanguka oyaaa simoni nisaidie msalaba mzito hahahahahahahahahah
Hata mi nawashangaa , hawa jamaa wanawachekesha nini sasa , duh 🚶Hivi huwa wanawachekeshaje? Maana maisha yetu yenyewe ni kituko tosha
Siku na muda wa hicho kipindi na Mimi nimuoneHabarini wakuu
Mara tatu nimefuatilia kipindi cha Stand up Comedy (WATU BAKI) kinachorushwa na channel "Maisha Magic Bongo 160" kupitia king'amuzi cha DSTV.
Nimemuona kijana anaitwa Deogratius ni balaa yaani ikifika session yake wote tuliokaa sitting room tunacheka mpaka tunatoa machozi achilia mbali wale waliopo live pale xzukumbini
Kijana huyu akiendelea kukaza buti atafika mbali sana na kuwapita hawa mastaa wakubwa waliopo
Nina comedian wangu wachache na sio wote na slang zao ndo kitu huwa napenda sanaChurchill Show tatizo kuna comedians wanatumia slang za ndani za Kikenya sometimes huwa nashindwa kuwaelewa.
Namkubali sana Mca TrickyNina comedian wangu wachache na sio wote na slang zao ndo kitu huwa napenda sana