Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Jamani mpoki anachekesha?Mpoki yupo vizuri ana kipaji cha uchekeshaji!
Naona concept ya STAND UP COMEDY haijaeleweka vizuri ktk huu uzi.Majuto ni the best
Kuna MCA TRICK naye ni noma Kenya...Bongo standy up comedy hamna wanaiga tu...wanaofanya Kenya tena wengi ni graduates wanakuwa creative na upeo wao ni mkubwa...Mpoki ana uwezo ila wengine wote hawana uwezo...Kenya wana hazina kubwa sana.. kuna prof Hamo na wengine
Demu angu alisema jamaa hawezi kumchekesha kwa vyovyote vile!Idris anauwezo wa kuchekesha mademu.
Yaani ktk list yako umeshindwa kumkumbuka hata Mkude simba aka Kitale? Hujamtendea haki kwakweli...Stand up comedy Bongo imeanza kupata nafasi kwa kasi lakini kuna changamoto kubwa hasa ya kuwa na wachekeshaji mahiri watu kama.
Mc pili pili yeye anajitaidi lakini anarudia rudia sana aina ya vichekesho vyake kwenye events tofauti.
Idris Sultan huyu jamaa sidhani kama ana talent ya kuchekesha japo kwenye social media anawafuasi wengi, nimeona baadhi ya show zake bado sijaona kiwango.
Stave Nyerere huyu jamaa nae si haba japo anachekesha kwa kuponda watu(anawachamba kama wadada wanavyoita).
Je, mbongo tunaweza kuwa na comedian wazuri waliofikia level za Eric Omondi wa Kenya au Anne Kansiime wa Uganda?
Kati ya hawa yupi anaweza fika huko
- Mpoki
- Idris Sultan
- Stive Nyerere
- Mc Pilipili
- Katarina wa Karatu
- Dogo pepe
- Joti
- Masanja Mkandamizaji
- Bambo
Ntachungulia na mb za ofisi j3Kenya uko MCA tricky ni balaa
Anageuzageuza maneno......Jamani mpoki anachekesha?
[emoji35] [emoji35] [emoji35]Wengine wanadhani mwanaume kuvaa kama mwanamke ndo kuchekesha kama wakina joti na wale vijana wa Eatv
Hahahahha, mchunguze vzr atakuwa na vielement vya utom boy.Demu angu alisema jamaa hawezi kumchekesha kwa vyovyote vile!
Stand up!!!senga si mmoja waoBinafsi huwa namkubari sana huyu jamaa anaitwa Senga namuona kama bonge la comedian aisee
Wachache sana wameelewaNaona concept ya STAND UP COMEDY haijaeleweka vizuri ktk huu uzi.
Hahaha bado tuna kasafariYaani ktk list yako umeshindwa kumkumbuka hata Mkude simba aka Kitale? Hujamtendea haki kwakweli...