umeona eeeh,sasa pale churchill kuna professa Hamo,mca trick,mammito,sleepy david,jemutai,david the student,njoro,mc jasper hawa watu ni noma mazeeHaha kuna wale awanaizurura na masinzi ya mkaa usoni wanaweka matambara makalioni
yule chokoraa kashindikanaKenya uko MCA tricky ni balaa
Uyoh kanjanja[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mc pilipili mjanja mjanja sana
huwezi acha kuona huko mi nina clip zao kibao huwa na download season zaoNtachungulia na mb za ofisi j3
Tehe tehe tehe....au hata akionekana yupo ndani ya Vitz au Bajaji ni kichekesho tosha, maana watajiuliza kaingiaje?....jamaa hana hata haja ya kufanya stand up.Le mutuz kuna siku alivaa lile shati lake kubwa la njano...acha watoto wa nursery wamkimbilie wakidhani school bus imefika. Ahahaha!
Le mutuz ni pure comedian!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe pia. Kazi kujiona mzuri tu.
Mkuu nigeria kwa africa ndo funga kazi wale wakina AY na basketmouth ni nomaWaanze kuwaangalia akina trevar noah, hasan minhaj, kelvin hart, jerry seinfeld, roy wood, jon stewart etc they can learn something from these people. Hawa watu wanachekesha bila ata kutumia nguvu.
Hapa kuna wasanii wa aina mbili mfano sanaa anayofanya Joti ipo tofauti na anayofanya Idris. Kuna wale wana crack jukwaani na kuna wale wa kuigiza. Sasa kuwaweka kundi moja si sawa. Uchekeshaji wa Idriss, Steve , MC pili pili ni ule kama wa trvor noah jukwaani wakati uchekeshaji wa joti, mpoki, mkwere ni kama ule wa jimmy carey au Mr Bean.Stand up comedy Bongo imeanza kupata nafasi kwa kasi lakini kuna changamoto kubwa hasa ya kuwa na wachekeshaji mahiri watu kama.
Mc pili pili yeye anajitaidi lakini anarudia rudia sana aina ya vichekesho vyake kwenye events tofauti.
Idris Sultan huyu jamaa sidhani kama ana talent ya kuchekesha japo kwenye social media anawafuasi wengi, nimeona baadhi ya show zake bado sijaona kiwango.
Stave Nyerere huyu jamaa nae si haba japo anachekesha kwa kuponda watu(anawachamba kama wadada wanavyoita).
Je, mbongo tunaweza kuwa na comedian wazuri waliofikia level za Eric Omondi wa Kenya au Anne Kansiime wa Uganda?
Kati ya hawa yupi anaweza fika huko
- Mpoki
- Idris Sultan
- Stive Nyerere
- Mc Pilipili
- Katarina wa Karatu
- Dogo pepe
- Joti
- Masanja Mkandamizaji
- Bambo
Dogo Pepe,mpoki,joti,katarina wa karatu,masanjaStand up comedy Bongo imeanza kupata nafasi kwa kasi lakini kuna changamoto kubwa hasa ya kuwa na wachekeshaji mahiri watu kama.
Mc pili pili yeye anajitaidi lakini anarudia rudia sana aina ya vichekesho vyake kwenye events tofauti.
Idris Sultan huyu jamaa sidhani kama ana talent ya kuchekesha japo kwenye social media anawafuasi wengi, nimeona baadhi ya show zake bado sijaona kiwango.
Stave Nyerere huyu jamaa nae si haba japo anachekesha kwa kuponda watu(anawachamba kama wadada wanavyoita).
Je, mbongo tunaweza kuwa na comedian wazuri waliofikia level za Eric Omondi wa Kenya au Anne Kansiime wa Uganda?
Kati ya hawa yupi anaweza fika huko
- Mpoki
- Idris Sultan
- Stive Nyerere
- Mc Pilipili
- Katarina wa Karatu
- Dogo pepe
- Joti
- Masanja Mkandamizaji
- Bambo
Ahahahahha ahahahaha lemutiziiiiLe mutuz [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahaha..mkuu hata wewe ni comedian..Le mutuz kuna siku alivaa lile shati lake kubwa la njano...acha watoto wa nursery wamkimbilie wakidhani school bus imefika. Ahahaha!
Le mutuz ni pure comedian!