Stand up comedy: Kenya kuna Eric Omondi, Uganda kuna Kansiime na Bongo kuna nani?

Stand up comedy: Kenya kuna Eric Omondi, Uganda kuna Kansiime na Bongo kuna nani?

Kipaji plus graduate na education..!!
 
Haha kuna wale awanaizurura na masinzi ya mkaa usoni wanaweka matambara makalioni
umeona eeeh,sasa pale churchill kuna professa Hamo,mca trick,mammito,sleepy david,jemutai,david the student,njoro,mc jasper hawa watu ni noma mazee
 
Kenya wapo level nyingine:

Kuna Profesa Hamo, MCA Trick dogo hatari sana na wengine wengi, kama kuna comedy Africa Mashariki ni churchil live pekee.
 
Magufuli kakataza.
Wabongo sauti kupaza
Masalio hatasaza
Aweka polisi wa kukwaza kuwaza
Kaa chonjo braza, ukizubaa kwako ataanza
Uchochezi kajibanza,
Sheria ya mtandao Arusha mpaka Mwanza
Vibaya atawafanza, toa nia kwenye Tanza
Mtaisoma namba faza, Pwani mpaka Nyanza
 
Le mutuz kuna siku alivaa lile shati lake kubwa la njano...acha watoto wa nursery wamkimbilie wakidhani school bus imefika. Ahahaha!

Le mutuz ni pure comedian!
Tehe tehe tehe....au hata akionekana yupo ndani ya Vitz au Bajaji ni kichekesho tosha, maana watajiuliza kaingiaje?....jamaa hana hata haja ya kufanya stand up.
 
Waanze kuwaangalia akina trevar noah, hasan minhaj, kelvin hart, jerry seinfeld, roy wood, jon stewart etc they can learn something from these people. Hawa watu wanachekesha bila ata kutumia nguvu.
 
Waanze kuwaangalia akina trevar noah, hasan minhaj, kelvin hart, jerry seinfeld, roy wood, jon stewart etc they can learn something from these people. Hawa watu wanachekesha bila ata kutumia nguvu.
Mkuu nigeria kwa africa ndo funga kazi wale wakina AY na basketmouth ni noma
 
Stand up comedy Bongo imeanza kupata nafasi kwa kasi lakini kuna changamoto kubwa hasa ya kuwa na wachekeshaji mahiri watu kama.

Mc pili pili yeye anajitaidi lakini anarudia rudia sana aina ya vichekesho vyake kwenye events tofauti.

Idris Sultan huyu jamaa sidhani kama ana talent ya kuchekesha japo kwenye social media anawafuasi wengi, nimeona baadhi ya show zake bado sijaona kiwango.

Stave Nyerere huyu jamaa nae si haba japo anachekesha kwa kuponda watu(anawachamba kama wadada wanavyoita).

Je, mbongo tunaweza kuwa na comedian wazuri waliofikia level za Eric Omondi wa Kenya au Anne Kansiime wa Uganda?

Kati ya hawa yupi anaweza fika huko
- Mpoki
- Idris Sultan
- Stive Nyerere
- Mc Pilipili
- Katarina wa Karatu
- Dogo pepe
- Joti
- Masanja Mkandamizaji
- Bambo
Hapa kuna wasanii wa aina mbili mfano sanaa anayofanya Joti ipo tofauti na anayofanya Idris. Kuna wale wana crack jukwaani na kuna wale wa kuigiza. Sasa kuwaweka kundi moja si sawa. Uchekeshaji wa Idriss, Steve , MC pili pili ni ule kama wa trvor noah jukwaani wakati uchekeshaji wa joti, mpoki, mkwere ni kama ule wa jimmy carey au Mr Bean.
 
Stand up comedy Bongo imeanza kupata nafasi kwa kasi lakini kuna changamoto kubwa hasa ya kuwa na wachekeshaji mahiri watu kama.

Mc pili pili yeye anajitaidi lakini anarudia rudia sana aina ya vichekesho vyake kwenye events tofauti.

Idris Sultan huyu jamaa sidhani kama ana talent ya kuchekesha japo kwenye social media anawafuasi wengi, nimeona baadhi ya show zake bado sijaona kiwango.

Stave Nyerere huyu jamaa nae si haba japo anachekesha kwa kuponda watu(anawachamba kama wadada wanavyoita).

Je, mbongo tunaweza kuwa na comedian wazuri waliofikia level za Eric Omondi wa Kenya au Anne Kansiime wa Uganda?

Kati ya hawa yupi anaweza fika huko
- Mpoki
- Idris Sultan
- Stive Nyerere
- Mc Pilipili
- Katarina wa Karatu
- Dogo pepe
- Joti
- Masanja Mkandamizaji
- Bambo
Dogo Pepe,mpoki,joti,katarina wa karatu,masanja
 
The best comedian kwangu ni Raymond wa everybody loves Raymond.
Kwa Tz tuangalie audience yetu. Vitu gani ukifanya watu watacheka. Wapo kina king majuto, kitale aka mkude simba, mpoki, Senga, hawa nawakubali sana kwa mazingira yetu. Uchekeshaji wao upo natural, siyo wa ku-act sana. Nafikiri hawa kwa waTZ wengi wanakubalika
 
Back
Top Bottom