kwenye ubunifu wa Tz zero kabisa, wanasahau kuwa dunia ya leo ya teknolojia huwezi kumuiga Kevin Hart kila kitu halafu utegemee kuvutia maana hakuna atakaeona kipya ambacho hawajakiona tayari kwenye Youtube. Kuna video ya waarabu ili trend hivi karibuni ya mchunga mbuzi kuita majina mbuzi wako zizini, hata wiki haikupita Joti nae kasambaza ya kwake ambayo amecopy A to Z and that's as far as being creative goes for us.
Na wewe pia. Kazi kujiona mzuri tu.
Mhmpoki hatumii nguvu ila utacheka tu kwa maneno yake
Wamewahi kusimama jukwaagani wakachekesha..kina katarinaDogo Pepe,mpoki,joti,katarina wa karatu,masanja
Nitawatafuta niwacheki.Mkuu nigeria kwa africa ndo funga kazi wale wakina AY na basketmouth ni noma
Haahahaha,tuongee ukweli tu he is boring, afu he was competing to host MTV awards against trevor noah, kelvin hart and idris elba...he should get a new career.[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tusiwalaumu sana Kuna wengine wazuri kama joti, mpoki ila tatizo lugha ya kingereza na Kuna wengine wanajua lugha ila hawajui kuchekesha kama mc pilipili, evance na idris nikiwatizamaga hata sioni wanachochekesha.
Mpoki nikimwangalia tu, hata asipoongea neno nacheka aseeMpoki yupo vizuri ana kipaji cha uchekeshaji!
[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3]L. I. P. U. M. B. A
HahahahahaaaaaaaL. I. P. U. M. B. A