Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,022
Hahaha nimecheka kwa sauti hapa hadi watu wanashangaaLe mutuz kuna siku alivaa lile shati lake kubwa la njano...acha watoto wa nursery wamkimbilie wakidhani school bus imefika. Ahahaha!
Le mutuz ni pure comedian!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yesu urudi tu.Bongo kuna wachumia tumbo tu. Kama vile kila mtu anaweza kujifanya mtangazaji au mwanamuziki hali kadhalika na huo uchekeshaji kila mtu alie na kiumaarufu kidogo mfano wa Idris Sultan nae anajiita comedian kwa vile akiongea pumba mbele ya vitoto vya chuo vinacheka kinafiki kumbe vyenyewe vinazengea hela za chips tu. Msishangae kesho Le Mutuz nae akasema ni comedian.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ntacheka hadi keshokutwa.Le mutuz kuna siku alivaa lile shati lake kubwa la njano...acha watoto wa nursery wamkimbilie wakidhani school bus imefika. Ahahaha!
Le mutuz ni pure comedian!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hata wewe ni comedian, jaribu basi stand up comedy.L. I. P. U. M. B. A
Hahahaaa, basi itabidi nitafute jukwaa hapahapa Jf[emoji1] [emoji1][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hata wewe ni comedian, jaribu basi stand up comedy.
yeah,Le mutuz [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ukiweza kufanya stand up comedy hizi zingine ni za kawaida na ni rahisi sana.Wengi hawaelewi hiz tofaut lakin nadhani wanajifunza hapa leo
Ni kweli stand up comedy inaitaji akili sana hasa kama wasikilizaji wako ni watu waliopata elimu nzuri.Ukiweza kufanya stand up comedy hizi zingine ni za kawaida na ni rahisi sana.
Kufanya stand up comedy si kazi rahisi kama wengi wadhaniavyo hebu cheki hizi video hapa chini uone jinsi watu walivo serious
Huyu ni Klint da drunk wa nigeria.