Stand up comedy: Kenya kuna Eric Omondi, Uganda kuna Kansiime na Bongo kuna nani?

Stand up comedy: Kenya kuna Eric Omondi, Uganda kuna Kansiime na Bongo kuna nani?

Bongo kuna wachumia tumbo tu. Kama vile kila mtu anaweza kujifanya mtangazaji au mwanamuziki hali kadhalika na huo uchekeshaji kila mtu alie na kiumaarufu kidogo mfano wa Idris Sultan nae anajiita comedian kwa vile akiongea pumba mbele ya vitoto vya chuo vinacheka kinafiki kumbe vyenyewe vinazengea hela za chips tu. Msishangae kesho Le Mutuz nae akasema ni comedian.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yesu urudi tu.
 
Le mutuz kuna siku alivaa lile shati lake kubwa la njano...acha watoto wa nursery wamkimbilie wakidhani school bus imefika. Ahahaha!

Le mutuz ni pure comedian!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ntacheka hadi keshokutwa.
 
Huyo Eric Omondi hamna kitu bora nimsikilize Mpoki
 
Kwa Bongo tunae Le Mutuz hao kina Kansiime watasubiri Sana.
 
Wengi hawaelewi hiz tofaut lakin nadhani wanajifunza hapa leo
Ukiweza kufanya stand up comedy hizi zingine ni za kawaida na ni rahisi sana.

Kufanya stand up comedy si kazi rahisi kama wengi wadhaniavyo hebu cheki hizi video hapa chini uone jinsi watu walivo serious

Huyu ni Klint da drunk wa nigeria.
 
Ukiweza kufanya stand up comedy hizi zingine ni za kawaida na ni rahisi sana.

Kufanya stand up comedy si kazi rahisi kama wengi wadhaniavyo hebu cheki hizi video hapa chini uone jinsi watu walivo serious

Huyu ni Klint da drunk wa nigeria.

Ni kweli stand up comedy inaitaji akili sana hasa kama wasikilizaji wako ni watu waliopata elimu nzuri.
Kumchekesha mtu mwenye upeo mkubwa ni kazi ngumu sana.
Sasa wachekeshaji wa bongo elimu hakuna aina ya vichekesho ni vile vile ambovyo ulishakutana navyo kwenye mtandao au uliwahi sikia wakati wa utoto wako
 
Back
Top Bottom