Stand up comedy: Kenya kuna Eric Omondi, Uganda kuna Kansiime na Bongo kuna nani?

Stand up comedy: Kenya kuna Eric Omondi, Uganda kuna Kansiime na Bongo kuna nani?

BONGO WAPO ILA HAWAJAPATA WA KUWAPIGIA PROMO TUNAOWAJUA KAMA WAKINA MC PILIPILI, WANACOPY MESSAGE ZA WHATSUP HAWAWEZ KUJICOMPARE NA AKINA PASTOR KURIA,SALVADO,PROFESSOR HAMO,MCA TRICKY ETC.
 
Tusiwalaumu sana Kuna wengine wazuri kama joti, mpoki ila tatizo lugha ya kingereza na Kuna wengine wanajua lugha ila hawajui kuchekesha kama mc pilipili, evance na idris nikiwatizamaga hata sioni wanachochekesha.
kiingereza kinausika vp apo
 
Mc pilipil yaani yeye anachekesha huku yeye mwenyewe anacheka, mwenzake wakina omondi au kivin hart anakuchekesha alafu yeye mkavu
 
Brother k hujamuweka lakini jamaa anaweza sana alafu joti pia naye yumo kwa sababu jamaa anacheza part zote iwe mwanafunzi binti babu nk
 
Brother k hujamuweka lakini jamaa anaweza sana alafu joti pia naye yumo kwa sababu jamaa anacheza part zote iwe mwanafunzi binti babu nk
Brother k anachekesha kwenye tv , uwezo wake jukwaani bado hatujauona
 
Kweli kabisa mkuu..Tanzania bado sana kwenye stand up comedy..Shida kubwa wanataka kuiga wakenya kwa kuchanganya kiingereza na kiswahili kama anavyofabya mc pilipili..anadhani amebuni kumbe anaharibu!Ninaweza kumuweka masanja kwenye nafasi ya kwanza kwa hapa bongo kwa sasa maana yupo natural anavyochekesha..yaani haangaiki sana kukuvunja mbavu,mpoki naye si haba kwa kiasi chake ila wengine waumize kichwa vya kutosha kwani bado sana..
 
Shida ni lugha ya malkia. Maana Erik kashaenda Maju kama Kolea na Europe, Kansime Marekani Africa kusini kashafika. Sasa ukisema Mpoki au Joti waende kuchekesha cjui itakua je
 
Mc Pilipili si mbaya isipokuwa amekosa challenge hadi ameridhika, hataki kuwa mbunifu, haiwezekani stand up comediani vichekesho ulivyo navyo ni vile vile mwaka mzima, ukiona ana kipya bas kaiba kwa mtu kenya.
Mpoki naye kuna tym msg imekufikia asubuhi whatsup unakuta ana ichekeshea ubaoni jioni yake, japo mpoki ni msanii mzuri sana na akiamua huwa ana buni vitu.
Masanja huwa anachekesha natural pia akiamua kutengeneza stand up nzuri ana weza tuu

Wachekeshaj wa bongo so wabaya ila wanakosa tuu ubunifu na wanaridhika mapema

*Idris Sultani si comedian, yeye huwa ana jidhani kuwa Comedian ila hawezi so hata tusihangaike naye anahangaika tuu
 
naona wengi mmeongelea comedians peke yao hamja ongelea audience na jamii.
je society inafanya vitu ili viwe sababu za material za comedy ukiona hakuna creativity kwenye comedy basi ujue pia ata maisha ya iyo jamii haina ubinifu.
je watu wangapi wanaenda kwenye show za stand up comedy ili kuwa support..
comedians wengi wanafanya kama plan B sbb bila plan A ya kutafuta hela kwenye ishu zingine basi hawatakula.
nafkiri wa kukuza stand up comedy tanzania ni jamii zaidi, kusupport kazi zetu. saivi ukiona tangazo ukaona yuko mtu popular wa kenya ivi ukumbi unajaa wabongo wakiitisha wenyewe hamuendi.. ata ukiangalia churchill
ya kenya, sio kila act is that much funny.. ila wakenya bado wanawa support kwa kufika na kwa wingi..
 
Stand up comedy Bongo imeanza kupata nafasi kwa kasi lakini kuna changamoto kubwa hasa ya kuwa na wachekeshaji mahiri watu kama.

Mc pili pili yeye anajitaidi lakini anarudia rudia sana aina ya vichekesho vyake kwenye events tofauti.

Idris Sultan huyu jamaa sidhani kama ana talent ya kuchekesha japo kwenye social media anawafuasi wengi, nimeona baadhi ya show zake bado sijaona kiwango.

Stave Nyerere huyu jamaa nae si haba japo anachekesha kwa kuponda watu(anawachamba kama wadada wanavyoita).

Je, mbongo tunaweza kuwa na comedian wazuri waliofikia level za Eric Omondi wa Kenya au Anne Kansiime wa Uganda?

Kati ya hawa yupi anaweza fika huko
- Mpoki
- Idris Sultan
- Stive Nyerere
- Mc Pilipili
- Katarina wa Karatu
- Dogo pepe
- Joti
- Masanja Mkandamizaji
- Bambo

Lu mbebez anafaa supa mtindi
 
Back
Top Bottom