Stand up comedy watanzania wanahitaji kuelimishwa watofautishe Sanaa ya uchekeshaji na uropokaji

Kuna kipindi Steve Nyerere aliandaa stand up comedy😂🤣, ilikufa fasta baada ya kukosa kuchekesha na kuanza kutania maisha ya watu /audience
 
Yule Saidi ndio anapitilizaga sana. I hope organizers (Coy Mzungu) watakuwa wanawasililiza kabla na kuwasawazisha nini cha kuongea na kipi watoe. Kwa kweli huwa hawachekeshi zaidi ya kukera tu.
 
Hamna kitu
 
Back
Top Bottom