Stand ya mabasi Mwenge

Stand ya mabasi Mwenge

DON YRN

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Posts
606
Reaction score
1,453
Kulikuwa na haja gani kujenga stand ya gharama kiasi kile pale Mwenge, Kinondoni-DSM halafu hakuna cha maana kinachoendelea zaidi ya gari mbili tatu zinazopakia abiria?...
 
Inasikitisha sana labda huko mbeleni pata kuwa na matumizi na ule uwanja wa KMC ndio kabisa wangetafuta sehemu yenye nafasi.
 
Kulikuwa na haja gani kujenga stand ya gharama kiasi kile pale Mwenge, Kinondoni-DSM halafu hakuna cha maana kinachoendelea zaidi ya gari mbili tatu zinazopakia abiria?...
Tatizo hawakumuhusisha na kumshirikisha kwenye mipango na maamuz yao kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ndo maana.

Aendelee kufanyiwa wepes na apewe qauli thabeet huko Firdaus.
 
Barabara ya Mwendokasi Morocco - Tegeta ikiisha Stand za Mwenge na Makumbusho zitakufa Kifo Cha asili
 
Back
Top Bottom