Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila katiba Mpya wataondoka wengi. Maana hawa maRC wanaokwenda kuwakamua pesa kwa lazima kinyume na sheria lazima wakimbie tuKuna hii habari kwamba Standard Chartered Bank wanataka kufungasha vilago ikoje?
Kama ni kweli, Juzi kati tuliambiwa, mama kayafufua mabenki hili halijafufuka?.
NB; Standard Chartered Bank ni banker wangu
Kiuchumi ni mbaya maana investments kwa wafanyabiashara wadogo hazitakua. Hivyo kuendelea kushikwa na Moguls.Nadhani wanaondoka retail banking ili wafocus zaidi kwenye corporate banking
Nadhani wanaondoka retail banking ili wafocus zaidi kwenye corporate banking
Kwa corporate business ipi unayoiona?Nadhani wanaondoka retail banking ili wafocus zaidi kwenye corporate banking
Mlisema Magufuli alikua anakimbiza wawekezaji.sasa hawa nao ni Magufuli kawakimbiza?UBER WAMESEPA NA SASA STANDARD CHARTERED. USHUNGI ANAFUNGUA NCHI KWA KASI SANA
Na hilo ndo lengo hasa la ccm ya leo!!Kiuchumi ni mbaya maana investments kwa wafanyabiashara wadogo hazitakua. Hivyo kuendelea kushikwa na Moguls.
kyagata, murah tujipe muda tutajua zaidi. Ila Mwigulu anaharibu!Mlisema Magufuli alikua anakimbiza wawekezaji.sasa hawa nao ni Magufuli kawakimbiza?
Kinachoimarika ni lake oil kwa kuboresha na kuongeza maradufu vituo vyake. Team Msonga wamekuja juu sanaKuna hii habari kwamba Standard Chartered Bank wanataka kufungasha vilago ikoje?
Kama ni kweli, Juzi kati tuliambiwa, mama kayafufua mabenki hili halijafufuka?.
NB; Standard Chartered Bank ni banker wangu
Kama huna point za kuchangia ni vema unapita tu.Bila katiba Mpya wataondoka wengi. Maana hawa maRC wanaokwenda kuwakamua pesa kwa lazima kinyume na sheria lazima wakimbie tu