Claude Henry
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 323
- 350
Lazima waondoke kama riba za mikopo (interest rates ) za CRDB na NMB zitakuwa chini ya asilimia 10. Mabenki kama Standard chartered walizoea 23% na kuendelea. Sasa kipi bora kwa mwananchi riba ya mkopo ya asilimia 9 au 23 .Kuna hii habari kwamba Standard Chartered Bank wanataka kufungasha vilago ikoje?
Kama ni kweli, Juzi kati tuliambiwa, mama kayafufua mabenki hili halijafufuka?.
NB; Standard Chartered Bank ni banker wangu
Kuna watu wanaweza wasielwe. Lakini ukweli ni kwamba bila ya mfumo bora wa utawala, hatutapata genuine investors.Kwa sasa Tanzania siyo nchi salama sana kwa wawekezaji, kauli ya mtu mmoja ndio sheria. Huyo mtu akitamka kila kitu kinabadilika, investors wanataka kuwa na uhakika na uwekezaji wao.
Huwa tunaona katiba mpya inawahusu wanasiasa tu, ajira za watu zinaenda kuondoka hapo, na hasara zingine kibao...!
Tigo imeondoka Tanzania, kuna ajira imepotea? Standard Charted kuondoka, haimaanishi benki imefilisika, hapana, bali wanauza share zao. na benki inaendelea kama kawaida.
Labda enzi za Magufuli , lakini Samia hana shida na wawekezaji wakubwa, nitajie jambo moja tu Samia alilosema likawatisha wawekezaji? zama zimebadilika, Hata huko Ulaya makampuni yanafunga biashara kwa kupata hasara. hiyo ni kawaida kwenye biashara.Any way, naona umedaka la ajira tu ukahangaika nalo, je nchi yetu ni mahala salama kwa uwekezaji mkubwa wakati huu ambao kauli ya kiongozi mkuu ni sheria?
Kwani kina makonda bado wako kwenye system. Tuendelee kusherekea kifo cha mwendazake.Bila katiba Mpya wataondoka wengi. Maana hawa maRC wanaokwenda kuwakamua pesa kwa lazima kinyume na sheria lazima wakimbie tu
Waache kukimbia wakati ule wa dikteta wakimbie sasa hivi nchi mikononi mwa walewale waliopiga hizo pesa?Wanakimbia kashfa ya kutumika kutakatisha pesa za mabilioni.. Sakata la IPTL nknk.. Ni taasisi ya fedha iliyochafuka machoni pa watanzania na haiaminiki tena
Hizi kauli tuliambiwa wakati wa JPM hatukuamini leo mnataka watanzania waamini kuwa kufungwa kwa biashara ni jambo la kawaida. Tusubirie muda utatuambia nani ni bora.Labda enzi za Magufuli , lakini Samia hana shida na wawekezaji wakubwa, nitajie jambo moja tu Samia alilosema likawatisha wawekezaji? zama zimebadilika, Hata huko Ulaya makampuni yanafunga biashara kwa kupata hasara. hiyo ni kawaida kwenye biashara.
Shoka moja haliangushi mbuyu ..ila zikiwa nyingi lazima mbuyu uende chini...SC wamepoteza trust na wana chain ya kashfa na case za madaiWaache kukimbia wakati ule wa dikteta wakimbie sasa hivi nchi mikononi mwa walewale waliopiga hizo pesa?
Hivi kama wangeondoka wakati wa JPM tungeambiwa hii sababu.
Hukuamini nini sasa? enzi za Magufuli hakuna makampuni yaliyofungwa? Tumeshaona mwelekeo wa Samia ni mzuri kupita magufuli,. .. rais bora tayari tumeshamjuaHizi kauli tuliambiwa wakati wa JPM hatukuamini leo mnataka watanzania waamini kuwa kufungwa kwa biashara ni jambo la kawaida. Tusubirie muda utatuambia nani ni bora.
[emoji28][emoji28] hizo riba za chini ya 10% wewe raia wa kawaida kuipata ni kipengele. Kwanza zinaweza tolewa kwa wakopaji wakubwa, pia ni kwa baadhi ya products kama agriculture window tena kwa sababu hizo fedha wanazichukua BOT kwa masharti ya kukopesha chini ya 10%. Otherwise products nyingine bado zipo juu kama mabenki mengine tuLazima waondoke kama riba za mikopo (interest rates ) za CRDB na NMB zitakuwa chini ya asilimia 10. Mabenki kama Standard chartered walizoea 23% na kuendelea. Sasa kipi bora kwa mwananchi riba ya mkopo ya asilimia 9 au 23 .
Haina Impact Bank zisizo na faida kwa Watanzania. Imekopesha Wajasiriamali Wangapi au Wakulima Wangapi? Hakuna Jibu zaidi ya kutegemea Hati Fungani tuKuna hii habari kwamba Standard Chartered Bank wanataka kufungasha vilago ikoje?
Kama ni kweli, Juzi kati tuliambiwa, mama kayafufua mabenki hili halijafufuka?.
NB; Standard Chartered Bank ni banker wangu
Uber ilikuwa inachangia kodi kiasi gani kwa. Nchi? Kama ni Application peke yake hata Watoto wa DIT wanaweza kuwa nayoUBER WAMESEPA NA SASA STANDARD CHARTERED. USHUNGI ANAFUNGUA NCHI KWA KASI SANA
[emoji28][emoji28][emoji28] sawaaa mkuuNinalichukua jibu lako na kusimam nalo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Wasalimie vijana wa bibi Katapa
Ni kama Rabobank walivyoondoka NMBNadhani wanaondoka retail banking ili wafocus zaidi kwenye corporate banking
Yes mkuu umesema ukweli, why watu wanapotosha?Nadhani wanaondoka retail banking ili wafocus zaidi kwenye corporate banking
Hicho ndicho nilikuwa nakisema, wawekezaji wakubwa hawataki kutegemea hulka na tabia za mtu mmoja.Labda enzi za Magufuli , lakini Samia hana shida na wawekezaji wakubwa, nitajie jambo moja tu Samia alilosema likawatisha wawekezaji? zama zimebadilika, Hata huko Ulaya makampuni yanafunga biashara kwa kupata hasara. hiyo ni kawaida kwenye biashara.
Nami Jambo hili linanikera kuwa bize kulinganisha flani dhidi ya flani. Ila nadhani viongozi wenyewe ndiyo wanaowaongoza wananchi kwenye tabia hii,kiongozi wa awamu moja anamzodoa kiongozi wa awamu nyingine,basi wananchi nao wanaichukua unakuwa wimbo waoUkifuatilia wachangiaji wengi, Kuna tatizo mahala nchi hii.
Ifikie hatua Watanzania tujue nini tunataka kwa wakati gani, aliyofanya Nyerere kwa wakati wake yalikua sahihi kwa wakati huo, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Maguful pia.
Tunatakiwa kujua tunataka nini kwa sisi kujikwamua lakini kutwa nzima watu wanalinganisha serikali zilizopita, unafikiri Kuna Rais atakaa Ikulu na kutulia? Atakua anafanya kama anashindana na mtangulizi wake ilihali alitakiwa kupeleka Tanzania mbele bila kujali nani alifanya nini.
Matokeo yake tunadumaa na kuamini maendeleo ni kumzidi mtangulizi wako.
Tuanze kuilinganisha Tanzania na nchi zilizoendelea, tuangalie mataifa ya ulaya, China na Marekani yako wapi, wanapiga hatua gani za kimaendeleo.
Haya Magenge yetu ni hovyo na yanakua kama laana kizazi hadi kizazi.
Kweli mtu anakaa na kusema fulani kaleta maendeleo sio kama fulani, Tanzania ina maendeleo? Shuwain.