Standard FM ya Singida kuibomoa wasafi Media

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Watu wa Mikoani kama mnavyotuita tumepata Media kubwa kutoka Singida, ambayo Kwa Sasa inakamata pande zote Tanzania

Umeajiri watangazaji maarufu na wana vipindi Bora sana

Za chini ya kapeti ni kuwa watawang'oa watangazaji muhimu hapa wasafi media hasa timu ya Maulid Kitenge, Diva inasemekana ashatua Standard FM

Watangazaji wengi kutoka media kubwa wapo kwenye mazungumzo ya kuhamia Singida huko standard FM

Hongera standard FM
 
Acheni ujinga
 
Huna akili
 
Leo natangaza rasmi, Wasafi fm ndio redio ambayo inawaumiza sana wakina fulani, yani kila siku wasafi fm inavunjwa wasafi fm inabomolewa. twende mbele turudi nyuma Wasafi media ni balaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom