matongoburua
Member
- Dec 3, 2013
- 17
- 17
Huko maswenkeni, nani ataishi?Watu wa Mikoani kama mnavyotuita tumepata Media kubwa kutoka Singida, ambayo Kwa Sasa inakamata pande zote Tanzania
Umeajiri watangazaji maarufu na wana vipindi Bora sana
Za chini ya kapeti ni kuwa watawang'oa watangazaji muhimu hapa wasafi media hasa timu ya Maulid Kitenge, Diva inasemekana ashatua Standard FM
Watangazaji wengi kutoka media kubwa wapo kwenye mazungumzo ya kuhamia Singida huko standard FM
Hongera standard FM