Standard FM ya Singida kuibomoa wasafi Media

Watu wa Mikoani kama mnavyotuita tumepata Media kubwa kutoka Singida, ambayo Kwa Sasa inakamata pande zote Tanzania

Umeajiri watangazaji maarufu na wana vipindi Bora sana

Za chini ya kapeti ni kuwa watawang'oa watangazaji muhimu hapa wasafi media hasa timu ya Maulid Kitenge, Diva inasemekana ashatua Standard FM

Watangazaji wengi kutoka media kubwa wapo kwenye mazungumzo ya kuhamia Singida huko standard FM

Hongera standard FM

Wataenda tuu kula totoz nzuri nzuri huko
Na kukuz zakushiba.🐓🐓
 
Back
Top Bottom