Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ya sasa iko mikononi mwa majizi sugu na hayo ndiyo yanayomilkiMakampuni mawili ya simu sitaki kuyataja wameanza mkakati wa kuhakikisha Star link haiji Tz kwa kuhofia ushindani.
Kibaya zaidi wanagawa rushwa na hata juzi walikua na kikao kizito kizito na baadhi ya watu wasio waaminifu kutoka Tcra na maafisa kadhaa wa serikali.
Hebu imagine hawa watu wanakosa tija kiasi cha kuanza mkakati wa kuhakikisha Star Link hawaruhusiwi kuja Tanzania.
Naiomba serikali hili jambo wasilipuuze hata kidogo, tutapoteza mapato tukiacha uwekezaji wenye manufaa kama huo wa Star Link.
Wanafahamu fika kuwa wamezoea kuwaibia watanzania kwa vifurushi vyao uchwara na MB za mchongo lakini wanafahamu fika kuwa Star link wakija litakua ndio kimbilio la watu wengi kwa sababu ya kasi yao ya intaneti na mabando mazuri yanayoeleweka.
Mimi najiuliza tu jamani hamridhiki?Nyie nyie mmeweka mtu wenu kule ttcl analihujumu lile shirika na sasa linaenda kufa rasmi sasa mnakaa vikao vya kuihujumu Starlink isije Tz hii nchi ina baadhi ya watu walafi sana wenye uchu na wasioridhika
Inasikitisha sana kibaya zaidi wapo maafisa wa serikali watu na heshima zao kwasababu wanapewa pesa mamilioni na makampuni ili wazuie starlink isije tz
Mchawi wa maendeleo ya mtanzania ni mtanzania mwenyewe hasa viongozi wetu!Makampuni mawili ya simu sitaki kuyataja wameanza mkakati wa kuhakikisha Star link haiji Tz kwa kuhofia ushindani.
Kibaya zaidi wanagawa rushwa na hata juzi walikua na kikao kizito kizito na baadhi ya watu wasio waaminifu kutoka Tcra na maafisa kadhaa wa serikali...
Dawa ni Elon Musk kumwaga mchele kidogo tu kila kitu kitakuwa shwari.As long as Starlink Itapewa clearance na Serikali basi kazi imeisha, hivi vicompany uchwara vya simu haviwezi kuzuia company kubwa kama Starlink. Hata Putin kashindwa kumzuia Musk na Starlink Ukraine sembuse hawa wanyonyaji masikini.
Wewe haukumskia nape alisema kwamba wameshawaandikia barua hao starlink mara sjui hawajafata utaratibu kiufupi ni takataka sana mtu huyuHakuna Ukweli wowote kwani nikuulize huyo Elon Musk kama kweli anataka kuwekeza
Aje Tanzania [emoji1241] atamuona Mama moja kwa moja
Hapa mnawachafua waziri watu wamitandao na wengine acheni wivu wenu wa ajabu
Bado utakua rais wa ovyo kwasababu utataka usimame wewe kama wewe.rais bora ni yule anayeweka misingi na mifumo yakisheria imara inayoanza na katiba bora ili kila taasisi ijisimamie yenyewe.Tofauti na hapo ni hewa tu utakufa uku nchi ikiwa vile vile.Yaani mimi ningepata nafasi ya kuwa raisi wa hili taifa. Magufuri ni cha mtoto aiseee. Ama nitawanyoosha kwanza nikigundua kwa namna yoyote ile aidha mtumishi wa serikalini ama taasisi binafsi anacheza na mifumo kwa masilahi yake binafsi au kikundi na kuhujumu uchumi wa inchi. Ataozea jela na hukumu ni kifo.
Na sitajali takataka yoyote atakae mtetea nitadeal nae personally atuambie ana masilahi gabi na wizi wa ndugu yake. PUMBAVU SANA.
Taifa linachelewa maendeleo sababu ya machoko wachache sana hili.
Wengi wenye mtazamo kama wako hawapewi uongozi. Na wao huwa hawapambani kupata mamlaka. Bahati mbaya wenye ujasili wa kutafuta mamlaka wengi wao ni wapigajiYaani mimi ningepata nafasi ya kuwa raisi wa hili taifa. Magufuri ni cha mtoto aiseee. Ama nitawanyoosha kwanza nikigundua kwa namna yoyote ile aidha mtumishi wa serikalini ama taasisi binafsi anacheza na mifumo kwa masilahi yake binafsi au kikundi na kuhujumu uchumi wa inchi. Ataozea jela na hukumu ni kifo.
Na sitajali takataka yoyote atakae mtetea nitadeal nae personally atuambie ana masilahi gabi na wizi wa ndugu yake. PUMBAVU SANA.
Taifa linachelewa maendeleo sababu ya machoko wachache sana hili.