Star Link yaanza kupigwa vita na makampuni ya simu isije Tanzania

As long as Starlink Itapewa clearance na Serikali basi kazi imeisha, hivi vicompany uchwara vya simu haviwezi kuzuia company kubwa kama Starlink. Hata Putin kashindwa kumzuia Musk na Starlink Ukraine sembuse hawa wanyonyaji masikini.
 
Serikali ya sasa iko mikononi mwa majizi sugu na hayo ndiyo yanayomilki
Kampuni za simu. Kuna CCM, JK, LA na baadhi ya wabunge.
Tunaliwa sana
 
Mchawi wa maendeleo ya mtanzania ni mtanzania mwenyewe hasa viongozi wetu!
 
As long as Starlink Itapewa clearance na Serikali basi kazi imeisha, hivi vicompany uchwara vya simu haviwezi kuzuia company kubwa kama Starlink. Hata Putin kashindwa kumzuia Musk na Starlink Ukraine sembuse hawa wanyonyaji masikini.
Dawa ni Elon Musk kumwaga mchele kidogo tu kila kitu kitakuwa shwari.
 
Starlink ije tu maana uwizi wa makumpuni hususan Voda ni kitu ambacho kinachosha.Unajiunga bundle kiscorr mara moja mbili unaambiwa kimeisha.Bundle la kuperuz mitandao ya kijamii yaani uperuzi vyema ni kuanzia 5000 sasa haya ni maisha gani?Bado nyinyi mnakaa kikao kuzuia Star link isije kama kitu kimekushinda waache wengine wafanye.Aibu sana hii watu na mphd na Udr mnakaa kuzuia jambo lenye manufaa kwa sababu ya faida zenu.Nyinyi ndio mashetani mnaorudisha hili taifa nyuma
 
Wote waliotajwa wamevimbirwa tuu.

Nasi tunapenda mavitu makubwa tu wakati matumizi yake yanaweza kuwa ya kihasara hasara...Sidhani kama tunatumia teknolojia iliyopo at full capacity pompous!
 
Hakuna Ukweli wowote kwani nikuulize huyo Elon Musk kama kweli anataka kuwekeza
Aje Tanzania [emoji1241] atamuona Mama moja kwa moja

Hapa mnawachafua waziri watu wamitandao na wengine acheni wivu wenu wa ajabu
 
Wewe haukumskia nape alisema kwamba wameshawaandikia barua hao starlink mara sjui hawajafata utaratibu kiufupi ni takataka sana mtu huyu
 
Hakuna serikali au kiongozi afrika anaependa watu wake
Hata magufuli alikua fisadi mfitini mbinafsi lakini alitaka aimbwe anatupenda
 
Bado utakua rais wa ovyo kwasababu utataka usimame wewe kama wewe.rais bora ni yule anayeweka misingi na mifumo yakisheria imara inayoanza na katiba bora ili kila taasisi ijisimamie yenyewe.Tofauti na hapo ni hewa tu utakufa uku nchi ikiwa vile vile.
 
Wengi wenye mtazamo kama wako hawapewi uongozi. Na wao huwa hawapambani kupata mamlaka. Bahati mbaya wenye ujasili wa kutafuta mamlaka wengi wao ni wapigaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…